Recent content by Tenderness

  1. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda cha mninga-140,000/=

    Mkuu Asante kwa wazo lako, ila sasa sisi wengine kukopa tunaogopa masimango na kunyoosheana vidole Ndugu yangu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda cha mninga-140,000/=

    Wakuu, bidhaa tajwa inauzwa hapo juu Size= 5 * 6 Ni cha mbao (Mninga) Sababu za kuuza= Shida za dunia Bei 140,000/= Negotiable Location; Mbezi Africana Contacts; 0767819499
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

    Sawa Mkuu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

    Mambo tu Mkuu, kuna mtu nilimnunulia Sasa naona hajapendezwa nayo. So nauza halafu nitafanya Mipango mengine.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

    Penye ridhiki fitina nyingi.. nimemsamehe Bure.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

    Halafu nimenunua kwa Samsung wenyewe hapo Mlimani city.. waliniuzia kwa 220,000 tshs.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

    Nimeitumia hii simu kwa wiki moja tu, sijaona tatizo lolote Mkuu. Ingekua na tatizo ningesema, mimi siyo muhuni.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

    Mkuu Samahani sana, tatizo simu ninayotumia ndiyo hii hii.. ila ukigoogle to unaona.. Samahani sana lakini.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

    Wakuu simu niliyotaja hapo juu naiuza, simu nimeitumia wiki moja tu toka nimenunua Dukani. Bado mpya, haijawahi kuanguka Wala kuchubuka, ina Rangi nyeusi. Nitakupa charger original na hear phones Zake zikiwa kwenye box lake. Napatikana mwenge. 0745657885
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Bei 150000
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Wakuu nauza Samsung J1ace.. nimeitumia wiki moja tu, nakupa na charger original pamoja na hear phones zake vikiwa kwenye box lake.. ni nyeusi. Nipo mwenge dar 0745657885
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu nipe hiyo hela nikupe Samsung J1 ace... nimenunua last week Dukani.. nakuuzia na charger yake original, hear phones.. Haina tatizo lolote. Ni nyeusi.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ya kununua

    Mkuu Salama,? Mimi ninayo Rav 4 kilitime, manual, namba C, nauza milion 7 coz inadeni la kama 2milion hivi TRA.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba Za kupanga Dsm

    Kuna watu wanadharau sana!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Aisee!!!
Back
Top Bottom