Nahitaji gari ya kununua

Yimakatso

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
6,958
9,300
Kwa yeyote anayeuza gari aina ya vitz,corolla,carina TI,ist,raum,starlet au duet tafadhali tuwasiliane haraka iwezekanavyo maana gari inahitajika haraka.Iwe kuanzia number B kuja juu.Isiwe imetiwa spana kwenye injini.Isiwe na deni lolote TRA au kwingineko.Iwe kwenye hali nzuri kwa ujumla.Bajeti yangu ni 4 milioni.Nipo Dar.
 
Kwa yeyote anayeuza gari aina ya vitz,corolla,carina TI,ist,raum,starlet au duet tafadhali tuwasiliane haraka iwezekanavyo maana gari inahitajika haraka.Iwe kuanzia number B kuja juu.Isiwe imetiwa spana kwenye injini.Isiwe na deni lolote TRA au kwingineko.Iwe kwenye hali nzuri kwa ujumla.Bajeti yangu ni 4 milioni.Nipo Dar.Kwa mawasiliano zaidi nicheki WhatsApp au nipigie kupitia number 0712484858.
Kwa condition ulizoziweka hiyo pesa yako kanunue bajaj huwezi pata Carina TI kwa milioni nne.
 
Bora mtu ujichange change kwa kweli atleast ufike kwenye milion saba unapata gari nzuri hiyo unayotaka kinyume na hapo utakuwa unashinda gereji utakaponunua
 
Wewe utapata reject kabisa! Unless unataka kununua spare za gari yako ila gari ya 4M ni usumbufu mwanzo mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom