Nauza samsung J1 ace kwa 150,000tshs

Tenderness

Member
Nov 28, 2015
29
18
Wakuu simu niliyotaja hapo juu naiuza, simu nimeitumia wiki moja tu toka nimenunua Dukani.

Bado mpya, haijawahi kuanguka Wala kuchubuka, ina Rangi nyeusi.

Nitakupa charger original na hear phones Zake zikiwa kwenye box lake.

Napatikana mwenge.

0745657885
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom