Nyumba Za kupanga Dsm

Jun 26, 2015
56
21
1. Nyumba Vyumba2, Sebule, Choo ndani na Jiko.
Bei laki4/Mwezi, kodi ya Miezi6.
Ipo MbeziBeach Tankibovu.
Mawasiliano: 0713226191
1460232090998.jpg

1460231893799.jpg
 
Chumba Masta (Chumba na Choo).
Bei 120,000/Mwezi, kodi ya Miezi6.
Ipo MbeziBeach Afrikana
Wasiliana: 0713226191

1460232418558.jpg
1460232694678.jpg
 
Guys kama una pesa nenda kaishi Chanika huko Ushuani nyumba mbovu kama hiyo hata Tabora haipo.
 
Chumba Kimoja
Kipo MbeziBeach Tankibovu
Bei 65000/Mwezi, kodi ya Miezi6.
Wasiliana: 0713226191

1460232980671.jpg
 
Wadau mimi nahitaji nyumba ya kupanga ila maeneo ya kijitonyama, makumbusho au mwenge.
Nyumba iwe na sifa zifuatazo
1. Vyumba viwili vya kulala
2. Sebule
3. Jiko
4. Choo
5. Maji ya dawasco
NB:BUDGET YANGU NI LAKI MBILI TU(200, 000/=)
 
Wadau mimi nahitaji nyumba ya kupanga ila maeneo ya kijitonyama, makumbusho au mwenge.
Nyumba iwe na sifa zifuatazo
1. Vyumba viwili vya kulala
2. Sebule
3. Jiko
4. Choo
5. Maji ya dawasco
NB:BUDGET YANGU NI LAKI MBILI TU(200, 000/=)
Hiyo utapata.. Lakini Kibaha au Kibamba..
 
Kipo chumba sebule jiko na choo chake bei 180,000 kwa mwezi. Kodi ya mwaka. Maeneo mwenge dakika 5 toka mliman city. Hakuna dalali. Ni nyumba nzuri kwa mtu anayeanza maisha. Na syo familia. Karibun. 0713401812
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom