Mwendokasi ni usafiri wa hovyo na mchafu kuliko niliosafiria kijijini kwetu! Karne ya 21, watu wanajazwa kwenye mwendokasi na majasho yote, bado wenye magonjwa ya hewa! Kwangu huu ni usafiri worse kuliko popote nilipowahi kufika Tanzania hii. What a shame kwa nchi inayojisifu inapiga hatua...
Mkuu vipi kuhusu kumpata broker, unampata na utahakikishaje kuwa ni halali na sio utapeli? Na je demo account inafaa bila broker au ni mpaka awepo? Tafadhali naomba majibu mkuu.
Asante!
Hhahahaha......! Umeniwahi. Kwani watumishi wanapata wapi hizo taarifa za siri, na je taarifa za siri ni zipi!!? Huyu waziri asipotoa tamko mdomo unawasha au? Yaan majukumu yake kasahau kila siku kiguu na njia kutoa matamko? Aboreshe maslahi ya wafanyakazi, hakuna mwenye shida na masiri yao...
TUCTA ndo mzimu gani tena!? Hii taasisi imekua hovyo na ni kama haipo. Wafanyakazi wanaonewa na kuteseka wala hakuna anaejali maslahi yao. What is tucta bhana!!
Wakilala wanajua maisha yao yote ni watawala! Laiti wangejua kuwa siku itakuja na wala hakuna atakaewatazama, au hata kuwajali! They should learn to be good to people as they go up because they will meet the same people as they come down!!
Mkuu wapo wanaopata mimba na wanapiga one kama vile hawajawai ku-do! Ni uamuzi tu, usikariri kila kitu. siungi mkono teen mothers, ila suluhu sio kuwaadhibu, badala yake ni vema tungejua mzizi wa tatizo ni upi!
Angeweza kumuunga mkono akiwa huko huko CDM sema kwa kuwa siasa za TZ zina element za uadui ndo ameamua kuachia ili aweze kudhihirisha uadui!! Wanasiasa wa hii nchi mnatia kichefuchefu kuliko makahaba, kila bwana mnamtamani!
Hii issue ya Kibiti wale polisi jamii wangekuwepo ungekuta mzizi ulishapatikana! Kibaya hawa wauaji wanadharau sana viongozi wetu! Juzi pale Kibaha mh raisi alisema dawa ya wauaji imepatikana na kwa sasa wananyooshwa! Nahisi hii vita sio ya maneno, kama ulivyosema, bila inteligensia ya maana...
Anaongea bila kufanya tathmini ya kwamba wao na maccm wenzake ndo walipitisha. Huyu mbunge haeleweki, anadhani kuwa yupo salama!! Alitakiwa aseme ccm wote watoke madarakan kwa kulitia Taifa hasara kubwa! Anapenda kuongea ili asikike, tena kwa speed huku akijua wazi kuwa hana break!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.