Recent content by Tembomtata

  1. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Kwanini BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo hawajaipa Kipaumbele Taarifa ya Uteuzi ya Zuhura Yunus?

    BBC Ina report habari za kidunia sio habari binafsi.....hata mwandishi alifariki natural death hawatangazi labda awe ameuwawa.....nyie Kila jambo mna report
  2. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Ahsante Venance Mabeyo kwa kutoa ndege ya kuwapeleka waombolezaji Mbozi kumzika Baba Askofu, Prof. Mwenesongole

    Anatumia grounds gani kutoa ndege inayotumia Kodi za watanzania kupeleka msiba Mbozi...
  3. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuambiwa nichague kati ya Vanguard na Harrier ili ku compensate kama malipo ya kazi

    Wanawake wenye nyodo ndo wadhaifu kupitiliza mkuu.....yaani superiority complex is a sign of inferiority complex......huyo unaenda nae polepole ku study udhaifu wake.....yaani wanabadilikaga huwezi amini
  4. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Sitaki kuamini kama ni kweli lakini ngoja niamini.....naomba kujua vitu vifuatavyo 1. Uliwahi kucheat akajua? 2. Ulijaliwa kupata mtoto ama watoto
  5. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Rombo, Kilimanjaro: Ugomvi wa familia wasababisha kifo

    Ukiona hizi socio conflict zinaongezeka ujue kuna issue mahali....kuna kitabu nilisoma kinaongelea Rwanda na jinsi genocide ilivyotokea. Mwandishi alielezea kwamba kabla genocide haijatokea socio conflict zilikuwa nyingi mno hata within Wahutu kwa wahutu ama watusi kwa watusi wenyewe, political...
  6. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa nauli ya basi kutoaka Dar es Salaam - Arusha

    Mkuu ukimtumia anaila kata kwa Shabiby online...just kidding
  7. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa Magari ya Serikali

    Huwa inaniuma sana ninapo pishana na magari ya serikali, madereva wengi (sio wote) hawafuati sheria, uendeshaji wao sio wa kujali utunzaji wa haya magari. Haya magari yangekuwa yanatunzwa vizuri both na taasisi lakini pia na madereva wenyewe yangepunguza gharama kubwa zinazotumika kwenye...
  8. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

    Polokwane tafuta hela.....usifurahie kuwa maskini
  9. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

    Hongera sana mkuu umefanya jambo jema, ila isikufanye uwadharau ambao hawajaweza, kila mtu ana path yake leo wewe kesho yule
  10. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

    Jack of all trades master of none
  11. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mkuu GENTAMYCINE wala sijakukuruka, nimetumia knowledge ya kawaida tu. Dereva wa gari alilopanda Fredwaa alikuwa kalewa, kama Fredwaa angekuwa normal yeye ndo angeendesha hilo gari, umeona video wakiwa na TID? It seems wakati wa ajali ndo walikuwa wanarudi nyumbani......hatu hukumu lakini...
  12. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

    Bro lifestyle zetu ndo zinatumaliza.....kamanda wa polisi amesema alikuwa amelewa gari likamshinda
  13. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo ameipaisha Kisarawe, ni zaidi ya Mkuu wa Wilaya

    Ni kwa vile anafanya kazi na media, kila mkuu wa wilaya angekuwa kama yeye usingeongea kama unavyosema.
  14. Tembomtata

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Wacha kumdanganya...real fighter kwa lipi....he didnt do his groundwork vizuri.....hatukutegemea mtu kama yeye akagombee ubunge while hajafanya chochote kwa watu ama wajumbe...
Back
Top Bottom