Recent content by Telaviv 4

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ruaha university(rucu) selection majina haya hapa 2015/2016

    KAMA ULIOMBA CHUO KIKUU CHA RURU zamani RUCO , TAFADHALI ANGALIA JINA LAKO HAPA http://rucu.ac.tz/index.php/news/65-degree-candidates-2015-16.html
  2. T

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu DSTV imenishinda

    Siyo siri dstv gharama zake zipo juu sana hata mimi nimeacha, nina kama miezi miwili, ila kupoitia thread hii nimepata kujua kwanini wao wanapandisha gharama kuliko wenzao. Ahsanteni wadau
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jordan university selection majina haya hapa

    KAMA ULIOMBA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA JORDAN BASI ANGALIA JINA LAKO HAPA.....HII NI BATCH 1 http://juco.ac.tz/index.php/academic-programmes/admission-requirements/general-information?download=282:selected-candidates-for-bachelor-programmes-2015-selection-sep-29 AHSANTE
  4. T

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Mimi siamini kawa waislamu wanaweza kusema hivyo kama ilivyo andikwa hapo juu, sijui lakini kwa mtazamo wangu naona hoja hiyo hapo juu ndio inaweza kusababisha mgogoro wa kidini. Kama dinizote zikiamua kuhusisha mambo yao na matamko ya wanasiasa basi nchi hii inaweza kufika pabaya zaidi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania gharama za kureseat ACSEE

    gharama ni kama ifuatavyo 1. Tsh 50,000 ada ya mtihani 2. ada ya kituo hutofautiana ila ni kati ya Tsh. 20,000 hadi 25,000 3. ada kwa ajili ya malipo Posta Tsh 7500 4. usajili ORES nao hutofautina ila ni kati ya 4500 hadi 6000 NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA
  6. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    edward lowasa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    upo sahihi mkuu, mi mwenyewe npo upande wa UKAWA lakini kiukweli MATOKEO yaliyopo humu JF had sasa bado yanaangalia hasa upande mmoja kana kwamba CCM wameshinda kiduchu. Huku kwetu Iringa maeneo mengi ya vijijini yamechukuliwa sana na CCM na CDM kiduchu. kwa hiyo me nawaomba wadau...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    upo sahihi mkuu, mi mwenyewe npo upande wa UKAWA lakini kiukweli MATOKEO yaliyopo humu JF had sasa bado yanaangalia hasa upande mmoja kana kwamba CCM wameshinda kiduchu. Huku kwetu Iringa maeneo mengi ya vijijini sana na CCM na CDM kiduchu. kwa hiyo me nawaomba wadau wanaopokea matokeo wayaweke...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

    Bonyeza tu hapo palipoandikwa selected undergraduate candidated au hapa ndugu yangu selected under graduate candidates
  10. T

    JamiiForums Tanzania Selection RUCO 2014/2015, angalia jina lako hapa

    KARIBU SANA IRINGA BAED BAFIT BBA BCSINF BEHSIT BSCSENG
  11. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa kujiunga TEKU

    Welcome We are delighted that you have decided to undertake your tertiary studies at Teofilo kisanji University or are considering to do so. MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA TEKU
  12. T

    JamiiForums Tanzania Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    hata NOKIA XL unaweza ukajaribu kuiona japo inasumbua kidogo katika kuingiza WHATSAPP.....yaani inahitaji uzoefu kidogo kwasabu ya OS yake
  13. T

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    "Akili nyingi huondoa maarifa"
  14. T

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Yaani ni sheeeeeeeedah
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Tafakari chukua hatua........
Back
Top Bottom