Recent content by telabite

  1. telabite

    JamiiForums Tanzania Tazama Mbowe alivyofurahia Hotuba ya Kikwete Bungeni jana

    kwa akili yako kikwete anamfikia hata mnyika?
  2. telabite

    JamiiForums Tanzania Tazama Mbowe alivyofurahia Hotuba ya Kikwete Bungeni jana

    umelewa wewe sio bure
  3. telabite

    JamiiForums Tanzania Tanzania to build airport near Serengeti National Park

    hivi mbona hatutumii akili kufikiri hawaoni kama ujangili utaongezeka yaan unamrahisishia usafiri jangili dah amakweli viongoz tunao
  4. telabite

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kustaafu Kikwete: I'll always remember...

    kwani yeye ndo engineer alelitengeneza mpaka kusema eti daraja lililowashinda marais wengine kwa hiyo ckuhizi marais ndo maengineer.
  5. telabite

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    yaani yeye na mke wake hakuna tofauti yeye hajui kuandaa hotuba nzuri mkewe anasoma kama mdogo wangu wa chekechea
  6. telabite

    JamiiForums Tanzania Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    in the past he has given out alot of stupid speech
  7. telabite

    JamiiForums Tanzania Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    unajua wakat nasikiliza hotuba kupitia radio nilidhani khadija kopa anahutubia naingia humu kumbe ni jk khaaa!!basi ile haikua hotuba ilikuwa taarabu
  8. telabite

    JamiiForums Tanzania Mbona kama Kikwete amepinga kila kitu kilichomo kwenye rasimu?

    kwani ile hotuba au taarabu na mipasho magamba yanakenuua wenyewe
  9. telabite

    JamiiForums Tanzania Mbona kama Kikwete amepinga kila kitu kilichomo kwenye rasimu?

    stupid president
  10. telabite

    JamiiForums Tanzania TBC sasa inaelekea iliko gazeti la Uhuru

    unataka waje tuwape za uso kwa utumbo wao wanaotangazaga
  11. telabite

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na CHADEMA!

    Kajenga barabara tu ,kwenye elimu zero zmekuwa kawaida,kakwapua hela BOT,na kawafcha wauza madawa ya kulevya na pembe za ndovu hivyo ndo v2 alivyo fanya
  12. telabite

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kalenga, sasa CCM kurejesha jimbo la Iringa mjini

    Unga mnaoagiza vp nao utakuwa kiasi kilekile
  13. telabite

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kalenga, sasa CCM kurejesha jimbo la Iringa mjini

    Sio tetesi ni ukweli watapoteza majimbo yoote dar hawana jipya hao magamba
  14. telabite

    JamiiForums Tanzania Lema apatwa na balaa jingine!

    Nyie mnaoishi dar hamjui jinsi gani tunavyomkubali lema huku arusha mnaowashwa mnaweza kuendelea kumdiscuss .Kwa taarifa yenu CCM Hana chake arusha
Back
Top Bottom