Recent content by tejateja

  1. tejateja

    Maagizo ya Waziri Mkuu kutaka UKOO MZIMA kukamatwa kwa makosa ya ndugu yao si sahihi kisheria!

    Nguvu hii ingetumika kutatua tatizo la 29 October
  2. tejateja

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania. Ajiuzuru sasahivi. Tuwe na serikali ya mpito. Mengine yaendelee
  3. tejateja

    Tujifunze Kutoka Libya

    Watanzania wanahitaji. Haki Katiba mpya Tume huru ya uchaguzi Serikali ya mpito Miili ya waliouwawa 29, October Uwajibihwaji wa waliohusika kktk mauaji. Mwisho maridhiano ya kitaifa.
  4. tejateja

    Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    We hope....freedom of expression is coming
  5. tejateja

    Mashamba ya kukodi Sumbawanga

    Kuna mashamba yanakodishwa Sumbawanga vijijini yanafaa kwa kilimo hasa cha mahindi. Mvua ni za uhakika . Matayarisho ndio yanaanza sasahivi mwezi wa kumi. Garama ni laki moja kwa ekari moja. 071654 8250
  6. tejateja

    Neno kwa Rais wa Ethiopia

    Mheshimiwa Rais karibu sana nchini kwetu. Nchi yako imepitia migogoro mingi sana ya ndani na mingine na nchi jirani. Naomba tafakari na fuata utaratibu unaofaa juu ya kupata eneo la bandari kule somaliland. Ufahamu kuwa somaliland sio nchi bali ni sehemu ya Somalia 🇸🇴.
  7. tejateja

    Waarab wa Sudan wamechinja sana weusi, tena kwa maelfu ila mweusi wa hapa JF kutwa unawaza Palestine

    Mbona haya mambo hayaingiliani hata kidogo mkuu. Siasa za Sudan na kinachoendelea kati ya Israel na wapalestina vitu tofauti . Vinahitaji ufumbuzi uliotofauti.
  8. tejateja

    South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7

    Fuatilia kesi taratiibu utakuja kuelewa nini kinaendelea. This has nothing totally to do with Islam and Christianity. Na Kwa taarifa yako Israels are not Christians as many Christians think.
  9. tejateja

    Putin atakuwa mwiba dhidi ya Afrika Kusini katika kesi yao dhidi ya Israel mahakama ya ICC

    Ishu ya Putin na Ukraine ni tofauti sana na kesi ya Gaza. Gaza ni sehemu ya Israel. Ila mwisho wa siku Israel itakuja kutambua unyama wao na itakuwa too late.
  10. tejateja

    Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

    Miaka elfu ngapi mkuu imepita mpaka sasahivi? Hapa tunaongelea miaka kama 2000 iliyopita . Tutumie ubinadamu tuondoe ushabiki na mihemuko . Mfano tu , ndugu zetu wangoni inasadikika walikuja nchini Tanganyika wakitokea Africa ya kusini. Je, ni vyema tukawafukuza na kusema warudi kwao...
  11. tejateja

    Mazayuni wanajiondoa GAZA kimyakimya kama walivyofanya Wamarekani Afghanistan

    Wengi wa waumini wa kikristo, wanashabikia Israel wakijua yakuwa waisraeli ni wakristo pia. Waisraeli sio wakristo na hata huyo Yesu Kristo hawamtambui. Kwa muisraeli ukristo ni upotevu na ibada ya sanamu. Mungu ni mwema sana siku moja haki itatendeka na wote wataishi pamoja
  12. tejateja

    Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

    All these capabilities you mentioned won't help Israel fight Palestinians/Hamas if you wish. Apartheid regime of South Africa was military extremely powerful. But wisdom came in and now they're all enjoying the peace . Oppressors and the oppressed living side by side. God bless South Africa and...
Back
Top Bottom