Recent content by Tegwa Investment

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sh 5,000 inaweza kabisa kunitoa kimaisha!

    Siwezi kukupinga sana ila angalia soko maana kila shilingi inaweza anzisha biashra,let say umeanza na shilingi elfu tano,unataka anzisha biashara ya juice haiwezekani kwani inahitajika uwe friji sasa utainunua vp na kama ipo nyumbani huwezi kuwa huru kuitumia ipo siku mshua atagomba tu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa milioni 5

    business plani yako ni ipi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Anza biashara ya sabuni za magadi(kigoma) kama uko tayari nicheki 0768292116 au 0753829505
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sabuni za magadi(kigoma) kwa bei nafuu

    Tegwa Investment ni watengenezaji wa sabuni za magadi(kigoma) za miche. Sabuni hizi ni nzuri kwa kuogea na kufuria,tunauza kwa jumla. Pia tunatoa mafunzo ya utengenezaji wa sabuni hizi. MAWASILIANO;Piga sim no.0768292116 au business.tegwa@yahoo.com Tupo Mwanza.
  5. T

    JamiiForums Tanzania DRVER ZA MODEM AINA YA HUAWEI E303h-1 za AIRTEL TANZANIA

    Habari za saa hiz wapendwa mimi nina modem aina ya HUAWEI E303h-1 Hi-link ya Airtel Tanzania nina tumia PC-DEll RAM-760MB WINDOW-XP PROFFESSIONAL kila napoipachika kwenye pc yangu inashinwa kufanya installation hivyo inashindwa kufanya kazi ila nikitumia pc nyingine inakubali je tatizo ni...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Kama Security Officer/Security Guard

    vp umefankiwa ulichokuwa unakitafuta
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    nashukuru kwa mchango wenu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Chief-Mkwawa Naomba unipe hatua muhimu za kwanza ili nianze na hatua moja moja kwanza.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Chief-Mkwawa, Samahani kaka natamani sana kuwa fundi wa simu upanude wa software nahitaji msaada wako kaka kwani nina pc tu hivyo nahitaji maelekezo yako
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Sio hivo ndugu zangu ila maisha tu.Je huwezi kutumia hizo software bila box.
  11. T

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu iphone 4 na 5

    Nenda kwa mafundi wa sim wataifanyia code changes but pesa ndefu kidogo kwa hali ya bongo na kushauri angalia price ya simu na gharama ya code changes
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Msaada tafadhari kuna uwezekano wa unlocking ya vodacom modem ya Huawei Hi-Link ili iwe master
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Sory kaka unapatikana wapi.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

    Nahitaji softwares zifuatazo na keys zake 1.UFS Micro Box 2.JAF Box 3.ATF Box 4.Z3X Box 5.NS PRO Box 6.Odin Software(for android) 7.Itune Software 8.Blackberry Desktop Software 8.Z3X Box for LG 9.Avator Box 10.Piranha Box 11.Volcano Box 12.Miracle box Nipo Mwanza.Mawasiliano...
Back
Top Bottom