Sabuni za magadi(kigoma) kwa bei nafuu

Nov 14, 2014
20
2
Tegwa Investment ni watengenezaji wa sabuni za magadi(kigoma) za miche.
Sabuni hizi ni nzuri kwa kuogea na kufuria,tunauza kwa jumla.
Pia tunatoa mafunzo ya utengenezaji wa sabuni hizi.

MAWASILIANO;Piga sim no.0768292116 au business.tegwa@yahoo.com
Tupo Mwanza.
 
Nyie ndiyo mmefanya sabuni za Alovera zote ziwe feki yaani hazina halufu kabisa ilA zinanuki makemiko tu eti dalani
 
Tegwa Investment ni watengenezaji wa sabuni za magadi(kigoma) za miche.
Sabuni hizi ni nzuri kwa kuogea na kufuria,tunauza kwa jumla.
Pia tunatoa mafunzo ya utengenezaji wa sabuni hizi.

MAWASILIANO;Piga sim no.0768292116 au business.tegwa@yahoo.com
Tupo Mwanza.
Asante mkuu.
Badili jina,maana naona email yako inasomeka business.tegwa,sasa nani ategwe.
Mafuta ya Mise na mawese mnaagizia kutoka wapi,maana ndio malighafi kubwa.
Vipi kile kiwanda cha Sabuni cha Sure soap pale kigoma Buzebazeba karibu na shule ya Ujiji kimekufa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom