Mkopo wa milioni 5

selham

Member
Jul 17, 2011
55
45
naomba mnifahamishe wapi naweza pata mkopo wa milioni 5 kwa ajili ya ku expand biashara yangu dhamana kadi ya gari aina ya toyota gaia
 
naomba mnifahamishe wapi naweza pata mkopo wa milioni 5 kwa ajili ya ku expand biashara yangu dhamana kadi ya gari aina ya toyota gaia

kama uko DSM nenda entepreneurs financial centre (efc)- wapo jirani na Millenium Towers - Kijitonyama..wanaingia katika soko na wanasaka wateja... unaweza pata hadi M 7 kwa kutumia kadi ya gari na ina bima kubwa... riba ni kama asilimia 1.7. hivi kwa mwezi

Access Bank nao wanaweza kukupa ...
 
Wadau naitaji mkopo wa Tsh 5,000,000/= please nitairudisha ndani ya mwaka 1 with negotiable interest
 
Habari Wanajamvi,
Nina hitaji mkopo wa Tshs mil.5 kwa ajili ya mradi wangu wa kilimo na ufugaji.
Kwa ambaye anaweza nisaidia tafadhali ni PM nita rejesha kwa riba kuanzia mwezi wa nne (April).

Natanguliza Shukrani zangu.

PAMOJA TUNAWEZA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom