The past defines the future
If you don't know history you can't understand the present/future
A girl who has slept with bunch of men before you date her will continue the trend because her body can no longer adapt to a single diick. Like they say Once a soldier always a soldier
Naomba mwenye uzoefu kuhusu huduma za Equity Bank Tanzania katika maeneo yafuaayo:
1. Huduma kwa wateja (Customer Care)
2. Huduma ya kuweka na kutoa fedha kwa kutumia Bank Taller
3. Huduma ya ATM
4. Huduma ya Mikopo
5. Huduma ya kufungua akaunti
Niliwahi kusikia jina la Mr. Mringo likihusishwa na haya majengo mawili. Huyu Bwana aliwahi kuwa Diwani maeneo kama si Kimara ni Mbezi, namkumbuka sana wakati wa vile vipindi vya TV vya Kiti Moto alikuwa akiishambulia sana serikali na kuwabana watendaji wake wanaoonekana kuzembea, lakini...
Unaweza kushangaa jinsi wafuasi wake watakavyomtetea humu..
Ndio maana huwa nawafananisha na wale wafuasi wa mchungaji Joseph Kibwetere wa nchini Uganda, naamini kuna siku huyu nabii Mzinifu Mwingira atawafanyia kitu mbaya waumni wake.
Yaani wako kama majuha tu.
Kweli mkuu.
Ni wachache sana wanoweza kuuona ukweli huu. Mada za aina hii huwa watu wanazikwepa sana kwa sababu ya sumu hiyo waliyolishwa. Kuna matatizo mengi sana yaliyoletwa na hizi dini za mapokeo na wengi tumesoma hata huko shuleni, lakini tunaambiwa ni historia na yalishapita tuyasahau...
Mkuu sijasema dini yangu haimjui Mungu. Usininukuu vibaya..
Hata dini yangu ya sili inamjua Mungu na ni yeye pekee ninayemuabudu kaara na matambiko ni njia tu ya kuweza kuwasiliana naye na ndio maana sisi tunamuita Mlungu kama wamasaai wanavyomuita Ngai.
Zamani enzi za ujima kabla ya ujio wa hizi dini za mapokea mababu zetu waliishi kwa amani na upendo huku wakiheshimiana na kuvumiliana.
Walikuwa wakiamini kwamba binadamu wote ni sawa na kila mmoja alikuwa akimthamini mwingine siyo kwa kile alicho nacho, bali kama binadamu aliyekamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.