Recent content by Teflonomicss

  1. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wanaojiuza wanakera sana!

    Sasa wewe kwa nini upite maeneo malaya wanajiuza...
  2. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vyuma vimeumana kiwandani

    Chat GPT kwenye moja na mbili
  3. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, una kiwango cha kuridhika kwenye maisha yako au you just want it all?

    Kuridhika kwenye maisha hichi kitu binafsi hakipo suluhisho pekee ni kuomba na kusali sana bila kuacha kutoa zaka kwa mwenyez mungu japo akuonyeshe kusudio la yeye kukuumba tu.
  4. Teflonomicss

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Nimepita kwa huyu jamaa ambae ametumia ile link ya s21 Ultra nimetumia the same link kwa hii S21 yangu naona haina noma so nnaweza na mimi nikapata Configs asee??
  5. Teflonomicss

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Asee ni Exynos
  6. Teflonomicss

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    kujua kama ni snapdragon au exynos inakuaje hapa jamaa
  7. Teflonomicss

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Ulipata wazo la biashara.... Vp upo mji gani pia??
  8. Teflonomicss

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Master Naomba link ya s21 5G nipambane nayo
  9. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mzee hizo dawa zinaitwaje kama hutojali
  10. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anadai ananipenda lakini anamuomba pesa mwanaume mwingine

    wee unampaga hela kama huyo mbabu au ndo unaishi sogea twende....?? tuanzie hapa kwanza
  11. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji28][emoji28] wee jamaa ni farasi kweli
  12. Teflonomicss

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hazikaribishi na hazina utu roho mbaya tuu ka njii njii
  13. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uliuza Mechi mkuu?
  14. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi date na 'Pisi kali' lakini ina kasoro?

    Hahahaha [emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka kingese
  15. Teflonomicss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi date na 'Pisi kali' lakini ina kasoro?

    [emoji28][emoji28][emoji28] Ki Qatar kinaimbwaje mkuuu
Back
Top Bottom