Wadada wanaojiuza wanakera sana!

Wadada wanaojiuza wanakera sana!

Unapita zako njiani unaambiwa karibu, kuangalia labda kuna huduma inatolewa hakuna, unauliza vipi? Anajibu safi ni elfu 5000 na chumba analipia yeye. Mmh! Nabaki najiuliza nimekwambia nahtaji huduma ya malaya?

Why umshobokee mtu ambaye ni mpita njia tu? Si kama angekuwa anakuhtaji angekuja direct kwako? Tunashushana heshima sana jamani!

Inakera na ikitokea tena malaya ananikaribisha huduma ambayo haitambuliwi na mamlaka za serikali nitamzaba vibao.
Biashara matangazo
 
Pale Mbeya kwenye Junction/mataa ya mafiat ukipita mida ya kuanzia saa moja labda na mtu unaeheshimiana nae, kwa jinsi wale wadada wauza wanavyokushokea hadi mtu unaeheshimiana anaweza hisi wewe ni mdau. Huwa najifanyaga naongea na simu kuwakwepa.
 
Back
Top Bottom