Ni kweli serikali haina dini, ila YEYE, Mh
Ni kweli serikali haina dini, ila yeye mh Rais ana dini. Tuache nongwa watanzania, lipi jema kwetu!? Duh, kazi kweli kweli!
Can't you see you took it too personal... So akiwa hapa nchini anaweza kuzuia upigaji nchi nzima yeye kama yeye physically eti? So kwamba anafanya kazi kwa kushirikiana na wasaidizi wake kam team eti..
Kwahiyo akiwa hapa nchini anafanya kazi mwenyewe physically eti...Si kwamba anashirikiana na...
Duh, tumetoka mbali jamani! Nakumbuka kipindi kile tukiwa wadogo tulikuwa tukioneshwa sinema ya Yesu kwenye kitambaa cheupe...Ikiisha zinafata nyimbo za kwaya hii. Watoto wa wakati ule tulitamani mkutano wa Injili usiishe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.