Recent content by Teddy William

  1. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni ampongeza Donald Trump

    Kazi kwao
  2. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Masogange na Dogo janja wafumwa katika mapenzi mazito

    Dogo kamavile kalazimishwa kupiga picha waowane kabisaaaaa.
  3. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wazuka kati ya marafiki wakubwa Munalove na Wema sepetu

    Tumesha wazoeya sisi tunataka kazi za sanaa sio wajitambe na kulogana sanaa bongoblmeshuka natunaowategenea wanacho jua kwasasa ni kiki za kipuuziiiii wajitambue niwasanii wanaotazamwa na watu.
  4. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Poleni mashabiki wa Diamond pamoja na team yake

    Ww mm namtamani chali ya moshi alibi koala aana alipoimba kichaga... inyi ni mchaka....daaa namkubali sanaaaaa...team kiba juuuu
  5. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Hivi unarudi kazini unamkuta mtoto kafanya hivi utafanyaje?!

    Nampiga kipigo kimoja tuu natafuta ndugu wa bba yake anaeishi kijijini namkabidhi nisije nikauwa.
  6. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Teddy Kalonga huwa namfananisha na Halle Berry

    Wouuuu mzuri
  7. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa supermarket wanahitajika

    Vip mshahara saaa
  8. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Mungu ndiye atawahukumu
  9. Teddy William

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Fanyeni utafiti wa hilotukio ndiyo muandike mnaandika vituambavyo havieleweki.
Back
Top Bottom