Hivi unarudi kazini unamkuta mtoto kafanya hivi utafanyaje?!

flintsky

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
654
744
1478012086540.jpg
1478012104775.jpg
 
Nitamwacha kama alivyo kwa sababu mimi mkubwa ndiye niliyefanya huo ujinga!
 
Yaani Kama nilikua sijampeleka jando(kutailiwa)nitamwambia mwanangu jiandae twende hospital,doctor namwambia huyu ktk mila zetu haturuhusu kutailiwa na ganzi,mtaili bila ganzi ili asikilizie maumivu na ndyo itakua kumbukumbu yake hyo
 
Nyooo mnajisemesha tu hapo mbona vinavunja flatscreen mnakausha tu. Labda mleta mada angeanZa kwa kusema mtoto wa umri gani. Kwangu mie
Miaka1-2 ntaenda kulilia chumban maana inauma kweli na kuchapwa haiwezekan maana ukichukua kiboko yeye anachukua Chelsea.

2-6 mboko za kufa MTU.
6 na kuendelea hapa nageuka wale jamaa zetu wa pale mgulan. Kachote maji kwa kizibo ujaze pipa
 
Back
Top Bottom