Naomba kuliza hivi katika wakuu wa mikoa kuna ambaye anapenda vyombo vya habari kuliko Daud Bashite ingekua so kweli ungesha msikia nakufungua kesi mahakamani kwakuzalilishwa
Kinachowabeba voda ni m-PESA na si kingine. Imejikita kuwapa mawakala wao commission kubwa.
Kama ukifuatilia ukienda kwa wakala ukiulizia kutoa TIGO PESA kiasi kikubwa utaambiwa hakuna but ukisema M-PESA unambiwa toa so market intelligence needed
Hello jamiiforums member leo nimeona niwaletee habari njema ihusuyo kilimo cha kisasa yaani GREEN HOUSE or NET HOUSE kwa sasa kwenye kampuni yetu tunazalisha net za green house zenye ukubwa wa 5.5x30m kwa Tsh 250,000/- unaweza kutumia miti mirunda kujengea green house yako gharama zakuinstall...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.