Recent content by Technician Elias

  1. T

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA CHUMBA NA SEBULE ,VYA KUPANGA MASAKI AU MORROCO

    Ninaomba wakala yeyote wa nyumba anisaidie kutafuta
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tablet ya Tecno inauza laki w

    Used One month
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tablet ya Tecno inauza laki w

    Hujui typing error au?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tablet ya Tecno inauza laki w

    Nina risiti yake, alafu usikimbilie kusema neno la mwisho hivyo. Utadharauliwa, hata siku ukisema ya msingi utaonekana ovyo.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa Duka la Dawa aliyesoma Certificate ya Medicine Dispenser

    Natafuta mfanyakazi Wa duka la dawa, aliyesoma medicine dispenser, certificate, mshahara tunaongea
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tablet ya Tecno inauza laki w

    Laki mbili, hayo ni matatizo ya kiuandishi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nifuate utaratibu gani kuhama kazi toka TAMISEMI kwenda Serikali Kuu?

    Wanaopaswa kupeleka kwa katibu mkuu, ni Mimi au sehemu nilipopata kazi mpya
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tablet ya Tecno inauza laki w

    0784221187 nitafute tufanye biashara wadau
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nifuate utaratibu gani kuhama kazi toka TAMISEMI kwenda Serikali Kuu?

    Wadau naomba msaada, nilipata kazi nzuri zaidi ya mwanzo, kote ni serikalini, kibali nafata utaratibu gani? Natoka tamisemi kwenda central government , taratibu zikoje wadau
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mtumishi Serikalini kuomba ajira nyingine PSRS

    Hii inawezekana. Mimi nimepata kazi kwa mkemia mkuu Wa serikali na Nilikuwa kazini. Zipo taratibu za mtumishi kuhama kutoka kazi moja kwenda nyingine, la msingi iwe juu kimaslahi au kicheo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Usije ukaenda ukakuta jina halipo, kama hujioni tangazo la pili, maana yake wamefanya marekebisho hivyo hata ukienda hutafanya kwa sababu wasimamizi watakosa pa kukuweka na watakuwa hawajakuandalia examination number. Ushauri wangu ni kwamba ukiamua kwenda wahi mapema hata siku nne kabla na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa kulipa mishahara mwezi Mei

    Lab technician mshahara 610000/=kama unaanza
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi technician wa shule za secondary

    Ni muhitimu nta 6 mwaka huu, niko vizuri practically and theoretically naweza fundisha popote Tanzania, ufaulu wangu first class with honor,
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

    Eustace o. katagira harudi tena bungeni Kyerwa tumechoka bwana
Back
Top Bottom