Recent content by Teachers Junction

  1. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

    Unaweza kutu follow Instagram kuona picha mkuu @teachersjunction Picha zipo
  2. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

    Ahsante wana jf kwa jitihada zenu. Mpaka sasa tumefanikiwa kupata walimu 18 since tumepost hili tangazo. Walimu 12 wamekamilisha usajili na walimu 8 Kati yao wameshafanya Interviws na Sita wamedhachukuliwa wataanza mwezi 7. Wawili hawajafanikiwa. Waliobakia this week tunaamini tutafanikiwa...
  3. Teachers Junction

  4. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

    Ahsante wana jf kwa jitihada zenu. Mpaka sasa tumefanikiwa kupata walimu 18 since tumepost hili tangazo. Walimu 12 wamekamilisha usajili na walimu 8 Kati yao wameshafanya Interviws na Sita wamedhachukuliwa wataanza mwezi 7. Wawili hawajafanikiwa. Waliobakia this week tunaamini tutafanikiwa...
  5. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

    Hapana sio lazima lakini sisi tunatumiwa na shule na kila shule inahita
  6. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

    for sure ukija kwetu ni mwalimu wa hesabu basi ujue hiyo hesabu ukikurupuka tu unapelekwa shule ya kwanza unajing'ata huwezi kudeliver ya pili the same na ya tatu no aaaaaahh utakalia bench. tunafanyakazi na shule kuwa ambazo zinahitaji walimu waliojidhatiti. pia registration sio 10 ni alfu 20.
  7. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

    Sasa @ Ze Heby unasema without dark you never see the start Tanzania tusizoee mfumo huo huo people should be creative to save others. mbona tunalalamika maisha magumu lakini wengi tunakatishana tamaaa? appreciate any who can do what you can not do
  8. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

    kwanza huwezi kulipa kama hujajirudhisha. then ukiona kweli ukakubaliana na terms na condition zetu then utakuwa registered but honestly hutorudishiwa registration kama umeshapelekwa kwa interviw tatu na umeshindwa
  9. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

    Humu ndani nouma kama huna moyo unaweza kufa kwa presha za vijembe. ila karibuni walimu its serious and we mean what we are doing wewe @ ilikua 2013 wacha kuwatisha watu bhana.
  10. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi wa 6 na 7 2016

    Haaaaa i like it lakini mwalimu huwa anajua knachosemwa tatizo la humu hata mtu wa sales nae atataka ku comment mada ya jinsi ya kufanya operation mwilini.
  11. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

    Wacha kukariri kijana. Watu wote hawapo kukutapeli. Kama sio mwalimu na haikuhusu kaa kimnya. Tunafanya hivyo since 2013 mpaka sasa humu if na kwenye magazeti
  12. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

    Hapana kuna mwalimu ambae alisoma ualimu na alikuwa nje ya field hiyo kwa muda hivyo akienda kwa interview amesahau mengi. Lakini pia naamini ungekuwa mwalimu ungejua kinachomaanishwa. Ndani ya field yetu kuna training au workshop ambazo huja wataalamu kwenye mashule na kukumbushana mambo...
  13. Teachers Junction

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

    With what we are doing brother?
Back
Top Bottom