Uhai ninini?🤔
Uhai ni muunganiko wa mwili na roho
Hivi viwili kimoja kikiwa kinaonekana na kingine kikiwa hakionekani, ungano lao kwa usahihi wake ndio huleta kitu kinaitwa UHAI
2. Kifo ni nini? 🤔
Kifo ni hali ya kukoma kwa uhai
Kivipi? 😳
Roho inapojitenga na kile kiunganishi
kingine...
Vitu ambavyo tunafundishwa huko Machuoni, mahali ambapo tunalipia ada zaidi ya milioni 1 iwe kwa mihula michache au mingi, lakini ukweli acha tuongee. Unakuta mtu anaenda kusomea course labda ya IT, ila vitu ambavyo anafundishwa si deep ya IT kama inavyotaka. Ifukunyuliwe inaguswa tu juu, labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.