Recent content by Teacher1

  1. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

    Siri zenyewe simpaka ziwepo?
  2. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

    Bora mkaanze kujenga mji mpyq wa Mbeya maana nyumba za tope Mbeya ni nyingi kuliko hizo za tofari za kuchoma au cement. Mitaa yote ya makunguru, soweto, Mwanjerwa, mabatini nk kote tope tupu.
  3. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza Kamanda wa TAKUKURU kuwakamata viongozi wa AMCOS Mbinga

    Unakamata viongozi wa AMCOS unaacha madiwsni wa ccm walioomba rushwa!!!
  4. Teacher1

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanaume wengi wa Mkoani Mbeya wanapenda kulelewa

    Ndio maana wamemchagua mwanamke kuwa mbunge kwasababu wanapenda kulelewa mmetuaibisha watu wa Mbeya
  5. Teacher1

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    Yeye ndiye ataandika mashitaka? Na ushahidi ataleta mwenyewe basi hilo litawezekana.
  6. Teacher1

    JamiiForums Tanzania GE2020 CUF yatangaza kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wowote

    Atangaze kufuta na chama chake maana kimepoteza mvuto kabisa
  7. Teacher1

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa hotuba ya Lissu - Kawe

    Meambie achambue na ile ya Jpm
  8. Teacher1

    JamiiForums Tanzania GE2020 NCCR yasema wako tayari kushirikiana na CHADEMA na vyama vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Akashirikiane na CCM alikopeleka mboga na nina mshaurinaanze kuaga kabisa aanze kuaga kabisa jimboni kwake maana hatatoboa.
  9. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Kwanini wajumbe wa CCM wamekuwa maarufu kushinda vyama vingine?

    Kwasababu ya roho zao mbaya
  10. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua, huyu ndio mtoto pendwa wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa

    Kama hana unataka kumlaumu yeye au Mungu wake??
  11. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua, huyu ndio mtoto pendwa wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa

    Inakusaidia nini hiyo katika kukuletea maendeleo marehemu hafanyiwi majungu mambo mengine muachie Mungu
  12. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Kuharibika barabara: Wakazi wa Ubungo wajuta kuichagua CHADEMA wadai imekuwa " kama" walitenda dhambi!

    baada ya serikali kukosa uwezo wa kutatua matatizo ya wananchi wake wote ndipo huanza kuwabagua kwa uchama udini na ukanda ili kupata ahueni fulani. zikiletwa picha za kuonyesha ushahidi wa hali mbaya ya miundombinu katika majimbonyanayoongozwa na CCM utashangaa na kufuta uzi wako huo dhaifu.
  13. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali yetu, kuwatosa Acacia kwa kutowatambua huu ndio uanaume!. acacia kula jeuri yake, faces hostile take over, soon itakuwa kwishney!.

    Wasiondoke bila kulipa Noah zetu please ila hongera kwetu na uanaume wetu tunasonga mbele tukiwa kifua mbele mikono mitupu.
  14. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

    Write your reply...Naomba kipimo mlichotumia kupima busara
  15. Teacher1

    JamiiForums Tanzania Ukuta wa Mirerani wakusanya shilingi bilioni 2

    Safi sana huenda ikarudisha hela tulizotumia katika kuujenga tukumbushane tu kiasi gani kilitumika hadi kukamilisha ujenzi.
Back
Top Bottom