Kwanini wajumbe wa CCM wamekuwa maarufu kushinda vyama vingine?

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari Wadau

Eti Kwanini wajumbe wa CCM wamekuwa Maarufu kushinda vyama vingine vya upinzan?

Kwanini uchaguz wa Kura za maon umekuwa Maarufu Sana?

Kwanini watu mbalimbali wakiwemo wa vyama pinzani wanawacheka Walio poteza Katika Kura za maon kua wamekosa Ubunge kitu ambacho kinacho fanya wengi Tuamin kua ukipita kwenye kura za maon Ccm Basi wewe tayariumesha kua mbunge

Kwanini uchaguzi wa CCM umekuwa makubwa Sana na Maarufu Mitaani na kwenye mitandao je ni kwa sababu CCM inakubalika? Au kwasababu ccm ndio chama chenye nguvu na ushawish Tanzania?

Kwanini inaonekana wazi wazi kua wote Walioonekana hawafai kugombea CCM Wana onekana wanafaa kugombea Upinzan?

Kwanini Watu wengi wamekimbilia kugombea CCM hata kama wanajua Kuna Wajumbe?
 
Nikwasababu wamejaa unafiki wa kumpamba mtu mwisho wa siku Wana mtema.

"Wajumbe siyo watu wazuri kabisa" Paul Bashite na Gwaji boy(kimoyomoyo voice)
 
IMG-20200726-WA0048.jpg
 
Wasanii tu hao.Wala rushwa za watia nia hao.CCM ni CCM tu.Wanabugia rushwa kama zile chipsi kavu walizoandaliwa ikulu kipindi kile!
 
Huwezi amini wajumbe walikua wanalamba hadi Laki 3 kwa ajili ya kumpigia kura mtu
 
Wajumbe wa CCM wanajua kuwakamua fedha wagombea na kuwanyima kura!
Mgombea mwenye dau kubwa ndiyo wanamchagua.
 
Hata shetani ni maarufu kuliko Mungu.

Ukitaka ku prove linganisha umaarufu wa bongo flavour vs gospel music.

Concert ya Nandi inajaza mashabiki 100 times kuizidi ile ya Christina Shusho!
 
Back
Top Bottom