Recent content by Teacher J

  1. Teacher J

    Nahitaji Mizani ya kupimia magunia

    Habari, Ninahitaji mizani kwaajili ya kupima uzito wa magunia. Kwa mwenye uzoefu na mizani anisaidie gharama yake na jinsi ya upatikanaji wake.
  2. Teacher J

    Taarifa ya serikali kuhusu watumishi watakaopandishwa madaraja

    Serikali kuwachukulia hatua maafisa utumishi watakaochelewesha upandaji wa madaraja pamoja ulipaji wa ongezeko la mishahara kwa watumishi wa Umma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angellah Kairuki ametoa tamko hilo leo Bungeni, Mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali juu ya...
  3. Teacher J

    Askofu Shoo: Watu waovu watambue kumuondoa Tundu Lissu mmoja kutazalisha Lissu wengine maelfu

    *AS WATU WAOVU WATAMBUE KUMUONDOA TUNDU LISU MMOJA KUTAZALISHAKOFU_SHOO: LISSU WENGINE MAELFU.* Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri nchini (KKKT), Askofu Dk Fredrick Shoo amewataka watu waovu watambue kumuondoa Tundu Lissu mmoja kutazalisha Lissu wengine maelfu. Kauli ya Askofu Shoo...
  4. Teacher J

    Hivi kweli nitapata wa kumuoa?

    Huwezi kupata Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Teacher J

    Jenerali Ulimwengu: Itachukua miaka 40 Demokrasia ya Tanzania kuifikia ile ya Kenya

    Tunayo kamusie??? [emoji57][emoji57] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Teacher J

    Ndoa za siku hizi: Kuzimu kumesimamia ukucha

    Kweli kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Teacher J

    Polisi ya Roboti yafanya kazi Dubai

    Ingefaa roboti hao waje wachukue nafasi ya traffic barabarani
  8. Teacher J

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Naomba kwa anayefahamu changamoto za zao la ufuta nipate msaada Shambani kwangu ufuta unabadilika rangi rangi kuwa njano then kukauka wakati ndio unaelekea kutoa maua.
Back
Top Bottom