Recent content by TCSS

  1. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

    Ila nimegundua kitu kimoja mleta mada ndio kachanganyikiwa hajui mbinu au plan za ukawa katika kuzindua kampeni alitegemea ukawa waweweseke baada ya tangazo la katazo la uwanja ila wametulia kimya. ama kweli kimya kina mshindo mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

    Naona siku hizi ni vita ya propaganda na kucheza na psychic za watu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Hatua nzuri sana strategic propaganda ya kusema watu wanapewa fedha eti wananunuliwa ili waende kwenye mikutano imefeli.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nape anataka kumtumia Nyerere kama fimbo ya kumchapa Lowassa

    Falsafa ya mzee ilikuwa nzuri ila kwa masuala ya kiuchumi hakufanya vizuri hamna kizuri cha kujifunza tutafute falsafa mpya kwa watu wapya.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka Diamond Jubliee Dsm: Mapokezi ya Magufuli baada ya kurejesha fomu NEC

    Sawa ndiye watanzania twasema mchawi mpe mtoto wako amlee basi naye twampa nchi.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Mimi si sikilizi clouds wiki tatu sasa na wewe je
  7. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA wafanye kazi ya ziada Tanga

    Wazuri sana kulalamika viwanda bandari mkonge umekufa ilhali njiia ya kutoa malalmiko wanaiona ila hawaichagui ni shida kweli kweli.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu Jijini Dar, watatu wafariki Dunia

    Magonjwa ya aibu tena kwa mji wenye hadhi kama ya Dar kweli tunahitaji mabadliko.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Sababu za wakazi wote wa Tanga kupiga kura za ndio kwa Magufuli

    Nadhani Tanga ni CUF na kama ni hivyo basi ukawa watapeta kiulaini.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mabadiliko hayachagui namna kwa sababu hao uliona wewe wasafi sana ndio wametufikisha hapa ambapo leo hii hata barabara hatuwezi kutengeneza wenyewe hata umeme miaka hamsini lakini bado tu kuna sehemu ni giza yaani bora mabadiliko bora tupate chama kingine waje na fikra nyingine labda hawa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Miaka hamsini hata barabara pia tunatafuta kampuni za china au japan ndio watujengee sisi tumeshindwa kweli kabisa hata kuwa na maengineer wenye uwezo wa kujenga barabara zetu sisi wenyewe miaka 50 toka uhuru.
  12. T

    JamiiForums Tanzania United States of Africa (USA) - 2050

    Upinzani tanzania walivyoungana mwaka huu japo wengine wanekuwa kikwazo naanza kuamini amini kidogo unachokisema.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Upepo umebadilika? Is it in favor of CCM or CHADEMA?

    Mwaka huu rasilimali za kampeni ziko sawa tofauti na miaka iliyopita na ni kweli upepo umebadilika tofauti na miezi miwili iliyopita ukweli ni ukweli tu Lowassa ni game changer katika uchaguzi wa mwaka huu mpaka sasa kama watu wanapiga kura sasa hivi yeye anashinda.Magufuli ni kama vile...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa Must Fail - By Hooks or Crooks

    Nobody can divert the power and will of the people thats why its called governmnet of the people for the people by the people.always in your dream remember to rule tanzania you needs peoples approval.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

    For fifty years they have ruled the country and here we are very poor country with ccm slogan nchi bado changa untill when itakomaa its not about kikwete gang its about economic policy failure of the ccm for past five decade so its time we put them aside and give opportunity to other party with...
Back
Top Bottom