Habari za wakati huu wanajukwaa?
Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki.
Kama yupo yeyote hapa,tafadhali naomba tuwasiliane kwa Direct Message (DM).
Naomba kuwakilisha.
Kigamboni ni kama mtoto yatima,Wilaya imetelekezwa Kwa kila kitu.Wananchi kupitia sekta binafsi wanajitahidi kwelikweli kufanya uwekezaji na maendeleo lakini hawapati support ya srikali,Angalia Tu swala la kivuko,Porojo miaka nenda miaka rudi,
Barabara zilozopo hazifanani na wilaya jirani kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.