Hi! Guys mm ni kijana mwenye umri wa miaka 19 m/mungu ameniwezesha kupata kiac cha fedha sh 9450000 ili niweze kufungua biashara.
Je nauliza kwa wenye kujua biashara ya chips inalipa?? Na je inahitaji kiac gni kufungua biashara hyo?
Na je nkifungua pub italipa?? Naombeni ushauri wenu please
The magic ring
Mtunzi:tawfiq abdallah
Contacts:0712581515 & 0686565050
Email:tawfiqabdallah24@gmail.com
Sehemu ya kwanza
Upepo mkali ulioambatana na radi huku rangi ya mawingu ikizidi kuwa nyeusi . muwako na muungurumo mkali unasababisha maporomoko ya mawe yatokayo mlimani na kudondoka kwa kasi...
Bro achana nae!! i believe ww ni kijana n una plan nyingi sana in future.. No nid ya kuonyesha ujogoo wako to some1 huz already taken.. N after all remember wat goes around, comes around... Kama ww ukichapiwa mkeo utajickiaje??
Binadamu siku zote haridhiki na kitu cz akikupigia sana unaona kero buh ikiwa yy nae yuko busy asipokutafuta unaanza kulalama ah mwanamke gani hajali, mwanamke huyu itakuwa kapata bwana mwngne.. Boys we ave to accept the fact that wanawake wanajali sana.. Akikuchunia ndo wakwanza kusema these...
Hi! Guys kwa wale waliovutiwa na story ya the magic ring kaa mkao wa kula maana ni mautamu yasiyokuwa na kifani yatawadondokea hivi karibuni... Stay blessed
K then! Nawaonjesha mautamu kidogo..
The magic ring (introduction)
Ni safari ya msakatonge mimi niliyeamka bila kujua ni kitu gani
nitaingiza kinywani kwa siku hiyo. Nilimuomba Mungu wa viumbe
wote ili anijaalie niweze kupata chakula kwa siku hiyo kwakua siku
zote yeye ndie aliyekua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.