Nadhani hujanielewa na hutaki kuelewa. Morogoro kwa sasa ukipaki gari yako hata nje ya nyumba yako itadaiwa ushuru wa maegesho. Sasa huo siyo utapeli!?
Naripoti kutoka Morogoro manispaa:
Kumekuwa na changamoto kwa wakazi wa manispaa ya Morogoro kutozwa ushuru wa maegesho ya magari na watu wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kinyume na utaratibu.
Ukiegesha gari bila kujali katika maegesho rasmi ya Manispaa au popote pale anakuja mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.