Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

Nchi inawaza kushinda uchaguzi tu

Kumbuka jamaa anaishi kwa shemeji yake
Kula, kula yote hapo.....
Hadi miguno ya dd yke na shemeji usiku anaipigia chabo..... Mpk hpo unafikiri kichwani Atakuwa mzima

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu inawezekana ni kweli huu utawala kuanzia baba mpaka watoto zero brain. Unawezaje kufumbia macho mteule wako kuvamia chombo cha habari na askari wenye silaha halafu ukamfukuza kazi Mkurugenzi aliyeshindwa kukumbuka figure ya hela za road fund kwenye mkutano wa hadhara😋😋😋🤪🤪
 
Ukiangalia mwenendo wa siasa wa nchi yetu kwa sasa, ni dhahiri shairi viongozi wetu wanawaza kushinda uchaguzi tu hakuna lingine. Tangu wamechaguliwa akili na mawazo yao yapo kwenye namna gani watashinda tena uchaguzi.

Hii inadhihirishwa hata namna ya maendeleo wanayotuletea. Ni yale maendeleo ya vitu vya kuonekana ili tuone kweli wanafanya kazi. Ununuzi wa ndege, ujenzi wa madarajja nk. Lakini kimsingi tuna shida na vitu zaidi ya hivyo. Tuna shida na huduma bora za afya, elimu bora, upatikanaji wa ajira nk. Leo hii kuna wimbi kubwa la wagonjwa wanaokimbiwa Muhimbili sababu ya gharama kubwa za matibabu, ukiwa na maiti Muhimbili mnaweza ghaili kuzika.

Tuache kuwaza ushinda uchaguzi kila kukicha kwa kufanya vitu vya kuwafurahisha wapiga kura, twende kwenye uhalisia wa maisha ya Watanzania na mahitaji na matazamio yao kwa serikali yao. Lakini serikali nzima ipo kwenye kampeni muda wote. Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, watendaji kata wote wanahaha kutafuta kura na mhishimiwa. Haifai namna hiyo

Nikosolewe kwa staha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam, ndio maana hata ndege mpya inapokuja ni fursa ya kufanya kampeni.
 
Akili matope za CCM ni kuona upunzani unakufa. Wanajua umuhimu wa upinzani, lakini hawataki kuuelewa.
Lile li jini la zidumu fikra za mwenyekiti linawaandama mpaka leo, ndio maana wanatumia mabilioni mengi kwenye mwenge usio na tija badala ya kuyatumia hayo mabilioni kuboresha miundombinu na hali za uchumi wa mwananchi
Hovyo sana
 
Back
Top Bottom