Recent content by Tavistock

  1. T

    JamiiForums Tanzania TBC mnamtukuza Rais Magufuli mpaka mnakera

    Wewe utakuwa siyo mzalendo kabisa. Kuna shida gani Television ya Taifa ikimpa airtime mkuu wa nchi??? Unataka airtime apewe nani?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Siri Imevuja: Afrika Kusini Yagundua Mratibu wa Maandamano ni Maafisa wa Serikali ya JMT. Ni Aibu!

    Kwani shida nini? Mbona Mange alipoandamana USA hamkusema? Hao walioikamata warudishe ndege yetu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Aliyeandaa maandamano kawafikiria watanzania walio Afrika Kusini na balozi yetu? Wakijibu mapigo tutawalaumu?

    Mahakama haina jeshi wala mdogo wake jeshi. Serikali ndo yenye jeshi na kwa hili Serikali ya SA ndo iliyotekeleza amri ya Mahakama. Kosa la waandamaji ni nini hapa? Serikali ya SA ilikuwa na uwezo wa kuruhusu ndege kuruka na kuendelea na safari hata kama mahakama imeamua ndege isiruke...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Serikali nao washike zile za kwao zinazofanya safari kati ya Dar na Johannesburg
  5. T

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Muhimbili poleni kwa kazi na asanteni kwa kusema ukweli ila ni wakati wa kuomba kuimaimarishwa kwa tiba ya watu walioungua moto

    Sikutishi mzee. Ndo ukweli huo. Yaani Mungu akitaka umuone ukiwa hai utajuta maana hutatamani utakachokipata. Usiombe mzee. Heri usubiri ufe maana hata ukionana naye huna la kufanya. Kuna watu walitamani kumuona wakiwa hai, alifanya introduction tu kabla hawajamuona. Walisema heri asije...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    DAWA YA MOTO NI MOTO. WAKAMATE NAO ZILE BOEING 737 ZINAZOFANYA SAFARI KATI YA DAR NA JOHANNESBURG.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Muhimbili poleni kwa kazi na asanteni kwa kusema ukweli ila ni wakati wa kuomba kuimaimarishwa kwa tiba ya watu walioungua moto

    Wewe cheza na Mungu tu. Siku utakapokutana naye utajua yeye ni nani!!! Ndo maana hajaruhusu umuone ukiwa mzima.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ajali ya moto Morogoro: Itakuwa ajabu Kama RPC na Kamanda wa Fire hawatawajibika.

    Unalaumu polisi ili iweje? Moto huo wa ghafla nani angeweza kuzuia? Cha msingi watu wetu waache tabia ya kuparamia magari ya mafuta pindi yapatapo ajali. FULLSTOP
  9. T

    JamiiForums Tanzania CCM na Rais Magufuli wanatumia ajali ya moto Mororgoro kama mtaji wa kisiasa na wakiwatukuza wahalifu kama mashujaa

    KWANI WAO WALIKUWA SIYO WALIPA KODI? WANANCHI KARIBU WOTE WANALIPA KODI. WAO VILEVILE WALIKUWA WANALIPA KODI. KWA HIYO HELA ILIYOTUMIKA NI KODI YAO AMBAYO NI HAKI YAO KUITUMIA. MIMI SIONI HAJA YA KULALAMIKA ETI KODI INAPOTEA BURE. HAWA NI BINADAMU LAZIMA WAZIKWE KWA HESHIMA ZAO, LICHA YA AINA YA...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya voice cloning ndiyo imetumika kutengeneza sauti za maigizo za Nape/Kinana

    Wewe endelea kujidanganya kuwa sio sauti zao. Ulitaka clip itoke kabla ya barua? Kama clip ingetoka kabla ya hiyo barua, unadhani hiyo barua ingetoka sasa?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Jipu la mradi wa UKIMWI limeiva na daktari wao

    Na wewe ubadilishe mada. Kila Na wewe ubadilishe mada, kila siku hiyo hiyo!!!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Vita vya Kenya dhidi yetu Viliasisiwa zamani sana. Jeshi letu lipo tayari?

    ACHA KULALAMIKIA KISWAHILI WEWE. KISWAHILI NI LUGHA NDOGO SANA NA HUNA MILIKI NAYO NA HAIWEZI KUTUFIKISHA POPOTE PALE. YULE MKENYA KATANGAZA OLDUVAI GEROGE KWA KUTUMIA KINGEREZA HAJATUMIA KISWAHILI. LAZIMA UJUE KUWA WATANZANIA TUNA TATIZO LA LUGHA KWA MAANA YA KINGEREZA. TUMESHINDWA KUJUA KUWA...
  13. T

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

    JAMANI HII ISSUE MHESHIMIWA RAIS AU WAZIRI MKUU AIPATE. KUMBE HATA WANAOTAKIWA KULINDA WANAHUSIKA!!!! TAAAHHH
  14. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Waziri Membe amefiwa na kaka yake mkubwa

    Mimi Bernard Membe simjui. Ndo nani hapa Tanzania? Nijulisheni jamani!!!!
  15. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Waziri Membe amefiwa na kaka yake mkubwa

    Mimi Membe simjui. Ndo nani huyo hapa Tanzania? Naomba nijulishwe
Back
Top Bottom