Jipu la mradi wa UKIMWI limeiva na daktari wao

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA UNAFANYA MZAHA JUU YA KITENGO CHA KIFUA KIKUU NA UKOMA?

WADHANI UNASTAHILI KUBAKI KATIBU MKUU KWA UCHAFU HUU?

Ndugu wanajamii,habari ya leo,

Mtakumbuka siku za hivi karibuni kuna post niliwekwa humu JF nikiongelea urasimu na kudumaa kwa kitengo cha kifua kikuu na ukimwi kwa sababu za udhaifuwa Mratibu Mkuu.

Baada ya post ile kusambaa na kuonekana inamsema Dr Beatrice ambaye ni Mratibu wa KIFUA KIKUU na UKIMWI basi watumishi wa humo ndani walipata balaa kiasi kwamba walianza kuitwa na kuhojiwa utadhani wameiba au wamebaka

Dr Beatrice alianza kutukana watumishi na kutoa maneno machafu na kusema kwamba hakuna aliyemlipia ada wala hakuna aliyemsaidia kufaulu masomo ya udaktari, kwamba anacheti chake hata wakimfukuza ataingia shirika lolotena kufanya kazi wala hatakufa njaa,akaahidi kuwafukuza atakaowahisi kuhusika nautoaji nyeti zake, lakini baada ya muda kidogo nikiwa najiuliza ni wapi huyu mama anapata jeuri ya kuongea na kutamba kufanya urasimu na ubepari huo ndani ya serikali ya Dr Magufuli, nikaambiwa kwamba kiburi hicho anadownload kutoka kwa mkurugenzi wa idara ya kinga anaeitwa NEEMA RUSIBAMAILA ambayeni mhaya mwenzake anaemuaminisha kuwa atamkingia kifua kwani anajua ni jinsi gani atamtetea

Baada ya sikukadhaa kupita tukisubiri kuona wizara au mamlaka za kinidhamu zitafanya nini au zitachukua hatua gani nimeshangazwa na kitendo cha kumhamisha afsa utawala (Administator)

Hapa najiuliza iweje mtu nyeti kama huyo ambae anapaswa kuhojiwa na mamlaka ya nidhamu ahame kinyemelea tena wakati huu wa sakata hili? je amebeba siri gani, hiyo yote tisa lakini kumi ni pale nilipogundua kumbe hata Katibu Mkuu wa wizara hajahusishwa kwenye kupisha barua hiyo na badala yake imesainiwa harakaharaka na Kaimu katibu mkuu,hapa najiuliza sina majibu ,je katibu mkuu anazungukwa na wapiga dili hawa au anafahamu na anaamua kuogopa mzigo usimwangukie?

Lakini sikio la nyundo sio zito lisiweze kubaini, ni jana tu jioni nilipewa taarifa zakuaminika kwamba mchezo huo unachezwa na Dr Beatrice mwenyewe, Basra(Maabara),WANZE, NEEMA(Mkurugenziwa idara ya kinga) pamoja na mtawala huyo kwa siri kubwa,hii ni dhahili kwamba mtawala huyu na kundi hili wamebuni namna ya kuficha madudu haya na inavyoonyesha huyo mtawala ndiye mwenye mzigo kamili wa na alikuwa akitumika kupitisha mambo yao,hivyo wameamua akajifiche huko eneo lingine kabisa (huu ni mzaha mkubwa kwa utumishi) kumtorosha shahidi, ndio sababu jana hapo ofsini Dr Beatrice alifanya hafla fupi ya kupongezana(CHEERS) na yule msomali anaeitwa Basra na kundi lao lingine, Lakini aibu nadharau kubwa ni pale baadae jioni walikaenda kuchinja nakula nyama choma za mbuzikwamshangao nahuyoAdminstrator akiwammojawao,hapondiponilikata tamaa kabisanagonjwahilisugula business as usual (BAU),hii inaogopesha sana ikiwa watu wanafikia hatua ya kusherekea kuficha madudu yao huku raia wakiumia kwa kifua kikuu

Mwisho;

Wizaraya Afya toeni amri huyo Mtawala aliyejificha arudishwe haraka NTLP na harakisheni mtume AUDIT TEAM iende pale NTLP itumbue usaha huu haraka.

Usalama wa taifa chukueni suala hili songesha kwa Mkuu wa kaya ikiwa waziri wa afya bado yuko usingizini, watu wanaumia,wanakufa kwa tb mjinga mmoja na walafi wanakula pesa za mradi.

ILE AHADI YA WIZARA YA KILIMO NITAITEKELEZA NEXT WEEKSTAYTUNE
 
Nimepapenda hapo uliposema atawafukuza waliotoa nyeti zake!yote kwa yote Ummi na doc Kigwa wamo humu watahangaika naye.
 
Na wewe ubadilishe mada.

Kila

Na wewe ubadilishe mada, kila siku hiyo hiyo!!!!
 
Kwani kuna nini huko Afya? naona mleta hoja anaandika mambo meeeengi lakini hasemi nini hasa kilichopotea, na hatoi hata ushahidi wa "manyoya" kuthibitisha kilicholiwa. Humu JF tunasisitiza ushahidi, La sivyo utaonekana kama mpika majungu.....
 
Nadhani TISS wameshafanya kazi yao hasa wale ambao JPM alisema wana kazi maalum ya kurekodi watu sina shaka
 
Nimepokea sms inbox ikinitisha kuwa najiweka kimbelembele eti nitakomeshwa, ngoja niilete hapa wakuu
 
Hongera kwa kuweza kutumbua hili jipu. Naamini kama hizi tuhuma ni za kweli basi hakuna cha kuogopa. Serikali hii ni sikivu mno na inafuatilia sana malalamiko ya wananchi kwa ukaribu mno. Tumbua tu mkuu. Naamini miaka 10 ijayo watanzania wasio na nia njema na nchi yetu watakuwa wamepungua kama si kuteketea kabisa.
 
Back
Top Bottom