Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Kumekuwa na suala ambalo toka miaka na miaka likijirudia kwenye uwanja wa vita vya kuchumi hasa afrika mashariki. toka kipindi cha Nyerere ,kenyatta na baadaye Arap Moi wamekuwa na mtizamo hasi sana kwa nchi ya Tanzania. wakiwachukulia watanzania kama ni wavivu, wasiojiweza na daraja la chini.
mara kadhaa hata kwenye baadhi ya majukwaa tumeona namna ambavyo wananchi wa kenya walivyokuwa au wamekuwa wakionesha dhahiri dharau kwa nchi ya Tanzania. na hili limetokana sana na ukarimu au upole ambao Tanzania imekuwa nao dhidi ya wageni na majirani zake.
Kumekuwa na matukio mengi ya hujuma yakifanyika kwa baraka ya serikali au baadhi ya viongoz wa kenya dhidi ya Tanzania hasa kiuchumi/kiutalii. tumeona namna ambavyo wamekuwa hata wakidiriki pasipo kificho kusema kuwa Mlima Kilimanjaro ni wa Kenya na kuutangaza huko kimataifa kana kwamba ni wa kwao. haya yamekuwa yakitokea na watanzania wamekuwa wakilalamika tu na kuyaacha yapite. Tunafaham kuwa Kenya wanauza sana Tanzanite kuliko Tanzania yenyewe. hili siwezi walaumu sana maana pengine wanatumia uzembe wetu kiasi flan.
hili la juzi juzi hapa la kusema Old pai Gorge (Olduvai Gorge ) ipo KENYA na msemaji akisema kuwa amekuwa akifundishwa hivyo miaka yote ni la kufikiria kwa makini zaidi. Tujiulize ni kweli amekuwa akifundishwa hivyo? je aliamua tu kusema hivyo kwa kutokujua au kwa kujua na kufanya kusudi? pengine tunaweza tusione kama hili ni la msingi au tukalipuuzia kama kawaida yetu.
Kenya imekuwa na vivutio vichache vya utalii ukilinganisha na Tanzania yenye, Ml Kilimanjaro,Olduvai Gorge, Serengeti,Ngorongoro crater, Mikumi, Zanzibar,Bagamoyo,Kilwa, Bustani ya Maua iliyoko Huko Mkoani Mbeya n.k n.k
kiuhalisia tuna vivutio vingi sana ambavyo ni vya asili kwa upendeleo tu ambao tuliupata yakiwepo maporomoko ya maji, maziwa,bahari na mito mikubwa mikubwa. michoro ya mapango huko Amboni Tanga, wahdzabe arusha na singida na .............. lakini tumeshindwa kuvitangaza hivi na wengine wachache wahuni wametumia nafasi hii kujitangaza kwa kutumia vivutio hivi. na Jirani zetu wa Kenya kwa kuchukulia upole na udhaifu tulio nao wamefaidika sana katika hili. tunaona namna ambavyo wamejitangazia kuhusu Mlima kilimanjaro na hivyo wamewez kuingiza watalii wengi sana kwao na baadaye kwasafirisha kuingia Tanzania kuja kuuona au kuupanda Mlima Kilimanjaro na mwishoni kuwarudisha tena Kenya.
Hili pengine hatujawa makini kuliangalia lakini tunaoishi mipakani tunayaona haya...tunaoana makumi na makumi ya wataaliiw anaongia Tanzania kupitia Kenya na kukaa siku moja au mbili na wakati mwingine masaa na kisha kurudi tena Kenya.
tunasahau kuwa kuna nchi zinazoendelea duniani kupitia nyanja hii ya utalii. na hili watanzania tuelewe ni Vita. ila vita hivi si vya majeshi ya kushika bunduki au mapanga. ni vita ya utandawazi, kujieneza kimipaka ya kiuchumi, kutumia mitandao na majukwaa ya kimataifa.
ni wachache wanaofaham kuwa TANZANIA NDIYO WAZUNGUMZAJI WAKUBWA WA KISWAHILI ila wa kenya ndiyo wanaouza vitabu vingi vya kiswahili na kufundisha wazungu wengi kiswahili.
ni wangapi mmeona movie/film ambazo mhusika akiongea kiswahili anajitanabaisha kuwa ni kutoka kenya au alienda kenya? haya mambo msidhani yanatokea tu bahati mbaya. ni vita vya kuuteka uchumi, ni vita vya kujitangaza duniani. na kama tutakuwa tumelala tushingae wakisema hata zanzibar,bagamoyo na kilwa vipo kenya. tutalalamia kwenye vyombo vya habari lakini kule kwa wazungu ujumbe watakuwa wameshaupata na kumiminika kenya wakati sisi tunalalamia huku nchini.
jeshi letu lijiandae kujitangaza huko nje na kuondoa dhana zote potofu kuhusiana na kile ambacho siku zote wakenya wamekuwa wakikifanyia propaganda dhidi yetu. tunakubali hawa ni jirani zetu na hatuna ugomvi wetu ilawasitumie upole na ukarimu wetu kwa manufaa yao. wazungu wanasema they shouldnt take it for granted.
yasije yakarudi ya miaka ile ya zamani kuhusu east afrika community. wasisahau kuwa wakenya wengi sana wapo nchin na wengi ahwana vibali vya kuwa hapa. nenda shule mbali mbali utawakuta kama Tusiiem, shule za st marys, na chuo chake, wapo wengi ambao wanaishi kwa kujificha na wanafanya kazi ambazo hata uwezo nazo hawana. nimetaja shule hizo chache kutokana na habari nilizokuwa nazo kuhusu watu hawa na wamiliki wa shule hizo.
kinyume na hapo sina chuki nao maana mimi binafsi nimeoa mkenya na mengi nayafaham pia kupitia kwake kwa kuwa hana analoweza kunificha. tanzania isitumike vibaya na ndugu zangu kuna wakati tuweke siasa pembeni tubakize utaifa kwanza. hawa wanaobaguana kwa makabila huko kwao kiukweli wanapokuwa tanzania ni watu wanaosaidiana sana .