Recent content by Tausi Rehani

  1. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Mjukuu wa Bakhressa akiwa na kinywaji cha Red Bull mkononi na sio Azam Energy

    Tena Familia ya Bakhresa , wanajua sana kupromote bidhaa zao. Sidhani kama Zayed Bakhresa anaweza kufanya kosa la kiufundi kama hilo
  2. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Mjukuu wa Bakhressa akiwa na kinywaji cha Red Bull mkononi na sio Azam Energy

    Hiyo ni Azam Energy Drink. Kabla ya kupost make sure unafanya utafiti wako vizuri Mkuu. Uzi ufungwe
  3. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ujumbe huu ni wa onyo la kufungia akaunti kutokea Kampuni ya Meta

    Matapeli hao, hiyo Ni google translate kabisa from English to Swahili. Bwana Mark Hana Muda huo mchafu
  4. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Njaa ikizidi sana,watu watashindwa kuvumilia tu mkuu. Kuna kijana Mtunisia Mohamed Bouaziz alijichoma moto kisa maisha magumu amesoma na hana ajira, Hii iliwaamsha unemployed wengi Tunisia watu waliandamana ,barabara zilifungwa. So Ni suala la Mda mtu akitokea wa kujitoa muhanga mmoja tu...
  5. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Elimu inadharauliwa kwasababu watanzania wengi wanasaka ukombozi wa kiuchumi kuliko ukombozi wa kifikra. Hii ni kutokana na changamoto za kiuchumi tu mkuu, mtu anaona haina maana kusoma na kusota mtaani wakati kuna deals ndogondogo anaweza akafanya akaendesha maisha ya kila siku.
  6. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Vijana wengi wanafeli kwenye mitaji, mitaji ikiwepo ya kutosha mtu anaweza kujiajiri kwenye fani aliyosomea.
  7. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Mkuu, wanavyuo wengi huandaliwa kukabiliana na mazingira ambayo kiuhalisia hayapo , ni mazingira ya kufikirika . Wakija kwenye mazingira halisia sasa inakuwa mtiti. Mazingira halisia yanahitaji uzoefu sio elimu ya nadharia, Ni vigumu kutoboa, Huyo darasa la Saba tayari ana uzoefu elimu yake...
  8. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Time will tell mkuu. Vyuo vinamwaga kontena kila mwaka mtaani.
  9. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Mkuu Smart911 Ni Nini suluhisho? Je vijana watafute ajira au kujiajiri katika sekta nje ya fani zao au wajikite na fani zao?
  10. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Hahahaha Guerilla wars zitaibuka Mda sio mrefu. Watu wanaendelea kujazana mtaani hamna Kazi. Ni kushika mtutu
  11. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Ni kweli serikali ina mchango mkubwa katika janga hili. Lakini mkuu suluhisho sio kuendeleza kuwananga vijana. Hii ndiyo inapelekea sasa matatizo ya afya ya akili yanakuwa mengi katika jamii. Vijana wanapambana na sonona kutokana na kuandamwa kila sehemu huku kiini cha tatizo ambacho ni...
  12. Tausi Rehani

    JamiiForums Tanzania Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Wasaalam, Hivi karibuni humu kumekuwa na ongezeko kubwa la nyuzi(threads) zenye mlengo wa kuwadhalilisha wahitimu wa vyuo vikuu (graduates) na wanafunzi waliopo vyuoni kwamba ni useless na hawana uwezo wa kujitegemea kabisa. Kwa utafiti nilioufanya, hii kampeni inaendeshwa kwa asilimia kubwa...
Back
Top Bottom