Recent content by tatiz

  1. tatiz

    JamiiForums Tanzania Ya Chopa 3, ushindi Kata 3 na masuala ya msingi kwa wanaCHADEMA, wapenda demokrasia

    Sababu ya kujitokeza kwa wapiga kura ziko nyingi, 1. Kuna ambao walikuwa hawajatimiza miaka 18 mwaka 2010 hivyo hawajajiandikisha 2.kuna ambao vitambulisho vimepotea 3.kuna ambao hatuoni sababu ya kupiga kura ikiwemo mimi,sababu kubwa tumeichoka CCM lakini hatujaona mbadala wake,vyama vya...
  2. tatiz

    JamiiForums Tanzania Vijana na mawazo potofu juu ya CHADEMA

    Vipi unaonaje rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mda wake ukiisha halafu aseme anaendelea kutawala hadi 2017 hadi pale katiba mpya ipatikane,je hao viongozi wa CHADEMA wanaweza kukubaliana na hilo?acheni vijana kujitoa fahamu,unapokuwa na katiba lazima uiheshimu
  3. tatiz

    JamiiForums Tanzania Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    kidanha Unachokisema nakubaliana na wewe 100%,hatutakiwi tuwe na chama kimoja chenye nguvu,tunatakiwa tujenge mfumo wa serikali isiyobweteka ,sasa hivi ukiangalia CCM hawana jipya,lakini pia ukiangalia bila ya ushabiki upande wa pili na wao hawajajipanga vizuri kuchukua nchi,mimi binafsi...
  4. tatiz

    JamiiForums Tanzania Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Unachokisema nakubaliana na wewe 100%,hatutakiwi tuwe na chama kimoja chenye nguvu,tunatakiwa tujenge mfumo wa serikali isiyobweteka ,sasa hivi ukiangalia CCM hawana jipya,lakini pia ukiangalia bila ya ushabiki upande wa pili na wao hawajajipanga vizuri kuchukua nchi,mimi binafsi ningependa...
  5. tatiz

    JamiiForums Tanzania Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Wanajamii wenzangu tukisubiri kukombolewa na CCM ,CHADEMA ,NCCR na vyama vingine tutasubiri sana,wanasiasa ni wale wale hakuna cha CCM,CHADEMA au CUF wote wanacho kiangalia ni masirahi yao binafsi, ukiangalia agenda zote za chama tawala au vyama vya upinzani ni zile ambazo zina masirahi...
  6. tatiz

    JamiiForums Tanzania Hamuwezi kutwaa dola kwa idadi yenu ya wanachama 20 pekee munaoaminiana!!

    Ni kweli wananchi wamechoka utawala uliopo madarakani,lakini lazima na chama mbadala kiwezi kuonyesha uwezo wa kuaminiwa vinginevyo watu wataanza kuona ni wale wale.Ukiangalia mwaka 2010 CHADEMA ili take advantage ya makosa ya CCM kuteua watu wasio kubalika na wana CCM wenzio,sitashangaa hata...
  7. tatiz

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi serikalini vs kufanya kazi sector binafsi.

    kafanye kazi serikalini
  8. tatiz

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Kigoma: 21 Desemba 2013

    Tatizo la watanzania tunasiasa za maji taka,hotuba yake imekaa vizuri na ni ya kujenga sio kubomoa
  9. tatiz

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Tanzania bado hatujapata chama mbadala,CCM wanaboa sana jinsi walivyoshindwa kutufikisha watanzania tunapotaka,lakini nimefuatilia uzi huu nimegundua mengi.1.CHADEMA tunawasapoti sisi vijana lakini bado hawajawa tayari kuongoza nchi hii 2.siasa za CHADEMA na CCM hazina tofauti kwani zote ni za...
  10. tatiz

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Mnyika kuhusu tuhuma za CHADEMA kubadili vipengele vya Katiba...

    Ukitafakari bila ya kuweka siasa na mapenzi ya kivyama hapa kunatatizo,Tatizo la watanzania tunaweka ushabiki katika mambo ya msingi,najitahidi kufuatilia mambo yanavyoenda katika nchi yangu lakini sioni muelekeo,tulio wapa dhamana kutufikisha KANANI wameshindwa ,upande wa pili nao naona kama...
  11. tatiz

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha, Samson Mwigamba asimamishwa uongozi, baada ya kukiri kusema uongo

    Kila nikitafakari Tanzania ijayo na ya sasa sioni muelekeo. CCM wamekosa muelekeo wa kutupeleka watanzania tunapotaka tupelekwe, Pia vyama vya upinzani navyo ukichunguza kwa jicho la mbali unagundua ni wale wale hawana jipya, wote ni mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo. Watanzania inabidi...
  12. tatiz

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani

    Wantanzania wengi hatupendi ukweli,kilichosemwa ndio ukweli wenyewe,nakumbuka Kigoma tulimwamini sana W.Kabouru kutoka upinzani mwisho wa siku akaja kusaliti ,sasa hivi yupo P.Selukamba kutoka CCM madudu ni yale yale,Mwenye uelewa wa kawaida haweza kumwamini mwanasiasa kwa 100 %,tatizo vijana...
  13. tatiz

    JamiiForums Tanzania Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

    RIP baba Askofu
  14. tatiz

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Kuitumikia Tanzania sio razima uwe mwanasiasa,unaweza kuitumikia Tanzania kwa namna nyingine na mchango wako ukaonekana kwa Taifa.
Back
Top Bottom