Vijana na mawazo potofu juu ya CHADEMA

Vijana na mawazo potofu juu ya CHADEMA

Njaa inamsumbuwa yupo kazini hapo si unajuwa tatizo la ajira?

Ndio tatizo la bavicha, ni Misukule hamna reasoning zaidi ya Maelekezo ya Slaa/ Mbowe na hata akisema "Kunyeni stendi" najua mtakunya tu, kisa "Kasema kamanda"!
 
chadema ni hatari kwa usalama wa nchi,hiki ni chama cha kilaghai kilichoanzishwa kwa ajili ya kuwagawa watanzania katika misingi ya kikanda,kidini,na kikabila
 
Ubwabwa na maharage ya CCM vimewafanya muwe mataahira!!! CCM ni chama cha mafisadi, kimeua Viwanda Vijana hawana ajira! Kinaua watu, hat a hivyo kwa salsa CCM haina kiongozi mwenye skill hat a mmoja! ndio maana Vijana wanaenda kuimwaga 2015!!
 
we kweli unaakili za kuku kuhusu uwenyekiti wa cdm ni sawa vita huwezi hukabadilisha jeneral mkuu katikati ya vita labda mpaka afe ndio sisi cdm hatubadilishi mwenyekiti mpaka hii vita na maccm iishe nadhan umenipata we mama
 
Wapo Vijana Wachache sana Wenye Matumaini Makubwa na Chadema,Wanaamini Kabisa ya Kwamba Kama Chadema Ikichukuwa Nchi,Watanzania Tunaweza Kuishi Kama Marekani au Ulaya Magharibi, Wanaamini Hakutakuwa na Njaa wala shida,Wanaamini Ajira Zitakuwa Nyingi Kama Mchanga wa Bahari,Kutakuwa na Barabara Sitasita Juu na Chini,Wanaamini Tanzania Nzima Inaweza Ikapigwa Cement Hivyo Watanzania Kutokanyaga Vumbi wala Matope,Wanaamini Chadema ndio Chama Pekee Kinachoweza Kupambana na Ufisadi na Ukiukwaji wa Democrasia ndani ya Nchi Hii.Wanaamini Chadema Inawapenda sana Vijana Kuliko CCM na Vyama Vingine vya Upinzani.

Wanaamini Kabisa Kama Chadema Ikipewa Dolla Basi Tutashuhudia Kasi Kubwa ya Maendeleo,Uboreshwaji wa Elimu,Hospitari,Miundo Mbinu ya Maji,Barabara,Reli,Viwanja vya Ndege,Makazi.

Lakini Kabla ya Kuwaunga Mkono Chadema ni Vema Tutafakari Baadhi ya Mambo ya Msingi 1. 1. Hivi ni kwa Kiasi Gani Democrasia Imekuwa na kukomaa ndani ya Chadema?

Maana Kama Zitto Kabwe Anataka Kugombea Uenyekiti,Anaitwa MUHAINI,MSALITI,Anaonekana ni kikwazo cha Maendeleo ya Chadema….na Baadhi ya Viongozi kama Said Arfi,Dr Kitila Mkumbo…Wanalalamika Chadema Kuchaguliwa Viongozi na Mzee Edwin Mtei.

Hivi ni Maendeleo yapi Yamefanywa na Chadema,Ndani ya Chadema Kama Taasisi na Tanzania Kama Nchi yetu Sote?

Maana Chadema Ina Miaka 21 sasa Tangu Kuanziswa Kwake 1993,Licha ya Ruzuku Kubwa na Misaada Lukuki Inayopata Chadema, Viongozi wa Chadema Wameshindwa Kujenga Hata Ofisi ya Makao Makuu ya Chama Chao.Sasa Watawezaje Kuiletea Tanzania Maendeleo?

Chadema Haijawahi Kutoa Hata Msaada wa Madawati kwenye Shule zetu za Kata,Wao Wamekalia Kulalamika na Kushinikiza Kuing’oa CCM Madarakani. 3. 3.Hivi ni Upendo Upi Chadema IInao kwa Vijana Hata Tuiamini na Kuiunga Mkono?

Maana Chadema Haina Utofauti na Wilaya Mpya(Wilaya Isio na Ofisi,Watu wachache sana…),Vijana Wanapewa Nafasi za Kugombea Ubunge ndani ya Chadema kwa Sababu Nafasi Hizo Zipo Wazi,Bado Chama Hakina Wanachama wengi, Nafasi nyingi za Kugombea Zipo wazi Kutokana na Uchanga wa Chama Chenyewe.

Lakini na Uchanga Kilionao Tunashuhudia Baadhi ya Viongozi Waking’ang’ania Madaraka,Je Kama Chadema Ikikomaao na Kuwa Kama Ilivyo CCM Kutakuwa na Nafasi ya Vijana Tena??Maana Vijana Kama Zitto Kabwe Wanaotaka Kugombea Uenyekiti Wanaitwa WAHAINI, WASALITI.

Acha Niiunge Mkono CCM,Maana WAMETHUBUTU.

Ng’ara CCM Ng’araaa.

Mkoloni alipokuwa mtawala wa Tanganyika siyo kwamba hakuleta maendeleo yoyote.Alileta maendeleo mengi ambayo mengine yalitumiwa na TANU kuwang'oa.Pia hadithi kama hizi zilitumiwa na wakoloni kwa ajili ya kuwatisha wananchi wasiichaguwe TANU lakini pamoja na propaganda kama hizi TANU ili endelea kukomaa na wakoloni na ikafanikiwa kuwaondoa wakoloni na ndipo maendeleo tunayo yaona hivi sasa yakapatikana.Lengo la kwanza la CHADEMA ni kuiondoa CCM madarakani iwe imefanya maendeleo iwe haikufanya maendeleo.Kitakachofuata ni kuwaongoza wananchi kuleta maendeleo kwa kuendeleza yale mazuri yaliyoachwa na CCM na kubuni mengine ambayo hayakuwepo.Japo kuwa siyo kila kitu kitakuwa asilimia 100 lakini unafuu utakuwepo zaidi ya huu tuliyo nao wakati tuko chini ya CCM kwani hata zile nchi ambazo zina maendeleo makubwa haziko asilimia 100 kwa kila kitu.
 
Wapo Vijana Wachache sana Wenye Matumaini Makubwa na Chadema,Wanaamini Kabisa ya Kwamba Kama Chadema Ikichukuwa Nchi,Watanzania Tunaweza Kuishi Kama Marekani au Ulaya Magharibi, Wanaamini Hakutakuwa na Njaa wala shida,Wanaamini Ajira Zitakuwa Nyingi Kama Mchanga wa Bahari,Kutakuwa na Barabara Sitasita Juu na Chini,Wanaamini Tanzania Nzima Inaweza Ikapigwa Cement Hivyo Watanzania Kutokanyaga Vumbi wala Matope,Wanaamini Chadema ndio Chama Pekee Kinachoweza Kupambana na Ufisadi na Ukiukwaji wa Democrasia ndani ya Nchi Hii.Wanaamini Chadema Inawapenda sana Vijana Kuliko CCM na Vyama Vingine vya Upinzani.

Wanaamini Kabisa Kama Chadema Ikipewa Dolla Basi Tutashuhudia Kasi Kubwa ya Maendeleo,Uboreshwaji wa Elimu,Hospitari,Miundo Mbinu ya Maji,Barabara,Reli,Viwanja vya Ndege,Makazi.

Lakini Kabla ya Kuwaunga Mkono Chadema ni Vema Tutafakari Baadhi ya Mambo ya Msingi 1. 1. Hivi ni kwa Kiasi Gani Democrasia Imekuwa na kukomaa ndani ya Chadema?

Maana Kama Zitto Kabwe Anataka Kugombea Uenyekiti,Anaitwa MUHAINI,MSALITI,Anaonekana ni kikwazo cha Maendeleo ya Chadema….na Baadhi ya Viongozi kama Said Arfi,Dr Kitila Mkumbo…Wanalalamika Chadema Kuchaguliwa Viongozi na Mzee Edwin Mtei.

Hivi ni Maendeleo yapi Yamefanywa na Chadema,Ndani ya Chadema Kama Taasisi na Tanzania Kama Nchi yetu Sote?

Maana Chadema Ina Miaka 21 sasa Tangu Kuanziswa Kwake 1993,Licha ya Ruzuku Kubwa na Misaada Lukuki Inayopata Chadema, Viongozi wa Chadema Wameshindwa Kujenga Hata Ofisi ya Makao Makuu ya Chama Chao.Sasa Watawezaje Kuiletea Tanzania Maendeleo?

Chadema Haijawahi Kutoa Hata Msaada wa Madawati kwenye Shule zetu za Kata,Wao Wamekalia Kulalamika na Kushinikiza Kuing’oa CCM Madarakani. 3. 3.Hivi ni Upendo Upi Chadema IInao kwa Vijana Hata Tuiamini na Kuiunga Mkono?

Maana Chadema Haina Utofauti na Wilaya Mpya(Wilaya Isio na Ofisi,Watu wachache sana…),Vijana Wanapewa Nafasi za Kugombea Ubunge ndani ya Chadema kwa Sababu Nafasi Hizo Zipo Wazi,Bado Chama Hakina Wanachama wengi, Nafasi nyingi za Kugombea Zipo wazi Kutokana na Uchanga wa Chama Chenyewe.

Lakini na Uchanga Kilionao Tunashuhudia Baadhi ya Viongozi Waking’ang’ania Madaraka,Je Kama Chadema Ikikomaao na Kuwa Kama Ilivyo CCM Kutakuwa na Nafasi ya Vijana Tena??Maana Vijana Kama Zitto Kabwe Wanaotaka Kugombea Uenyekiti Wanaitwa WAHAINI, WASALITI.

Acha Niiunge Mkono CCM,Maana WAMETHUBUTU.

Ng’ara CCM Ng’araaa.

Na bado! Mtapanga sana point mwaka huu, je unamaana hata huyo zito wako ana mawazo potofu? Kwani tumemwona akienda mahakaman ili abaki kwenye chama ambacho ww umekidharau
 
Ccm miaka 50 raslimali zote tulizonazo bado shule za jijini dar watoto wanakaa chini na tuna misitu nchi nzima nchi hii atuwezi pata maendeleo kama tunafikilia misaada kams mwenyekiti wako jk anavyo waza
 
"Kama ningepewa kuongoza nchi ya Tanzania,kwa kutumia BANDARI tu,Tanzania ingekuwa nchi tajiri kuliko nchi zote za Afrika mashariki,na hapo sijaongelea RELI,UTALII na MALIASILI nyingine nyingi zinazopatikana katika nchi hiyo!Nafikiri nchi hiyo inakosa UONGOZI MAKINI tu!"

Paul KAGAME-Rais wa Rwanda

Ni kweli kabisa. Kuna nchi zina bandari tu na ndo tunazitegemea zit upe misaada. Tanzania ina kila kitu kasoro uongozi makini na wenye maono. Hakuna wazalendo ktk hili Taifa. Watu hawana mpango na kuacha LEGACY katika maisha yao.
 
we kweli unaakili za kuku kuhusu uwenyekiti wa cdm ni sawa vita huwezi hukabadilisha jeneral mkuu katikati ya vita labda mpaka afe ndio sisi cdm hatubadilishi mwenyekiti mpaka hii vita na maccm iishe nadhan umenipata we mama

Vipi unaonaje rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mda wake ukiisha halafu aseme anaendelea kutawala hadi 2017 hadi pale katiba mpya ipatikane,je hao viongozi wa CHADEMA wanaweza kukubaliana na hilo?acheni vijana kujitoa fahamu,unapokuwa na katiba lazima uiheshimu
 
Ndio tatizo la bavicha, ni Misukule hamna reasoning zaidi ya Maelekezo ya Slaa/ Mbowe na hata akisema "Kunyeni stendi" najua mtakunya tu, kisa "Kasema kamanda"!

Unaonesha uzoefu wa kunya stendi
 
chadema ni hatari kwa usalama wa nchi,hiki ni chama cha kilaghai kilichoanzishwa kwa ajili ya kuwagawa watanzania katika misingi ya kikanda,kidini,na kikabila

Bado unaendeleza hiyo single zilipendwa?
 
Wapo Vijana Wachache sana Wenye Matumaini Makubwa na Chadema,Wanaamini Kabisa ya Kwamba Kama Chadema Ikichukuwa Nchi,Watanzania Tunaweza Kuishi Kama Marekani au Ulaya Magharibi, Wanaamini Hakutakuwa na Njaa wala shida,Wanaamini Ajira Zitakuwa Nyingi Kama Mchanga wa Bahari,Kutakuwa na Barabara Sitasita Juu na Chini,Wanaamini Tanzania Nzima Inaweza Ikapigwa Cement Hivyo Watanzania Kutokanyaga Vumbi wala Matope,Wanaamini Chadema ndio Chama Pekee Kinachoweza Kupambana na Ufisadi na Ukiukwaji wa Democrasia ndani ya Nchi Hii.Wanaamini Chadema Inawapenda sana Vijana Kuliko CCM na Vyama Vingine vya Upinzani.

Wanaamini Kabisa Kama Chadema Ikipewa Dolla Basi Tutashuhudia Kasi Kubwa ya Maendeleo,Uboreshwaji wa Elimu,Hospitari,Miundo Mbinu ya Maji,Barabara,Reli,Viwanja vya Ndege,Makazi.

Lakini Kabla ya Kuwaunga Mkono Chadema ni Vema Tutafakari Baadhi ya Mambo ya Msingi 1. 1. Hivi ni kwa Kiasi Gani Democrasia Imekuwa na kukomaa ndani ya Chadema?

Maana Kama Zitto Kabwe Anataka Kugombea Uenyekiti,Anaitwa MUHAINI,MSALITI,Anaonekana ni kikwazo cha Maendeleo ya Chadema….na Baadhi ya Viongozi kama Said Arfi,Dr Kitila Mkumbo…Wanalalamika Chadema Kuchaguliwa Viongozi na Mzee Edwin Mtei.

Hivi ni Maendeleo yapi Yamefanywa na Chadema,Ndani ya Chadema Kama Taasisi na Tanzania Kama Nchi yetu Sote?

Maana Chadema Ina Miaka 21 sasa Tangu Kuanziswa Kwake 1993,Licha ya Ruzuku Kubwa na Misaada Lukuki Inayopata Chadema, Viongozi wa Chadema Wameshindwa Kujenga Hata Ofisi ya Makao Makuu ya Chama Chao.Sasa Watawezaje Kuiletea Tanzania Maendeleo?

Chadema Haijawahi Kutoa Hata Msaada wa Madawati kwenye Shule zetu za Kata,Wao Wamekalia Kulalamika na Kushinikiza Kuing’oa CCM Madarakani. 3. 3.Hivi ni Upendo Upi Chadema IInao kwa Vijana Hata Tuiamini na Kuiunga Mkono?

Maana Chadema Haina Utofauti na Wilaya Mpya(Wilaya Isio na Ofisi,Watu wachache sana…),Vijana Wanapewa Nafasi za Kugombea Ubunge ndani ya Chadema kwa Sababu Nafasi Hizo Zipo Wazi,Bado Chama Hakina Wanachama wengi, Nafasi nyingi za Kugombea Zipo wazi Kutokana na Uchanga wa Chama Chenyewe.

Lakini na Uchanga Kilionao Tunashuhudia Baadhi ya Viongozi Waking’ang’ania Madaraka,Je Kama Chadema Ikikomaao na Kuwa Kama Ilivyo CCM Kutakuwa na Nafasi ya Vijana Tena??Maana Vijana Kama Zitto Kabwe Wanaotaka Kugombea Uenyekiti Wanaitwa WAHAINI, WASALITI.

Acha Niiunge Mkono CCM,Maana WAMETHUBUTU.

Ng’ara CCM Ng’araaa.

Hakika wamethubutu
 
Attachments

  • 1391577874500.jpg
    1391577874500.jpg
    18.4 KB · Views: 61
Wewe ni mmoja kati ya vijana wenye weledi mkubwa na kujitambua,una mawazo mapana,unaona mbali na unastahili kabisa kuwa political analyst wa dunia.

Hawataki kuona Misri walikuwa na mawazo mgando kama ya vijana wetu,kuwa Morsi na chama chake cha Muslim brotherhood wangeleta mabadiliko makubwa lakini muda si mrefu wamemuondoa Morsi madarakani na chama chenyewe wakakiita cha kigaidi.

UPINZANI BADO KUONGOZA NCHI. ASANTE MTOA MAADA.
Ha ha ha ha Wayaz
 
Wapo Vijana Wachache sana Wenye Matumaini Makubwa na Chadema,Wanaamini Kabisa ya Kwamba Kama Chadema Ikichukuwa Nchi,Watanzania Tunaweza Kuishi Kama Marekani au Ulaya Magharibi, Wanaamini Hakutakuwa na Njaa wala shida,Wanaamini Ajira Zitakuwa Nyingi Kama Mchanga wa Bahari,Kutakuwa na Barabara Sitasita Juu na Chini,Wanaamini Tanzania Nzima Inaweza Ikapigwa Cement Hivyo Watanzania Kutokanyaga Vumbi wala Matope,Wanaamini Chadema ndio Chama Pekee Kinachoweza Kupambana na Ufisadi na Ukiukwaji wa Democrasia ndani ya Nchi Hii.Wanaamini Chadema Inawapenda sana Vijana Kuliko CCM na Vyama Vingine vya Upinzani.

Wanaamini Kabisa Kama Chadema Ikipewa Dolla Basi Tutashuhudia Kasi Kubwa ya Maendeleo,Uboreshwaji wa Elimu,Hospitari,Miundo Mbinu ya Maji,Barabara,Reli,Viwanja vya Ndege,Makazi.

Lakini Kabla ya Kuwaunga Mkono Chadema ni Vema Tutafakari Baadhi ya Mambo ya Msingi 1. 1. Hivi ni kwa Kiasi Gani Democrasia Imekuwa na kukomaa ndani ya Chadema?

Maana Kama Zitto Kabwe Anataka Kugombea Uenyekiti,Anaitwa MUHAINI,MSALITI,Anaonekana ni kikwazo cha Maendeleo ya Chadema….na Baadhi ya Viongozi kama Said Arfi,Dr Kitila Mkumbo…Wanalalamika Chadema Kuchaguliwa Viongozi na Mzee Edwin Mtei.

Hivi ni Maendeleo yapi Yamefanywa na Chadema,Ndani ya Chadema Kama Taasisi na Tanzania Kama Nchi yetu Sote?

Maana Chadema Ina Miaka 21 sasa Tangu Kuanziswa Kwake 1993,Licha ya Ruzuku Kubwa na Misaada Lukuki Inayopata Chadema, Viongozi wa Chadema Wameshindwa Kujenga Hata Ofisi ya Makao Makuu ya Chama Chao.Sasa Watawezaje Kuiletea Tanzania Maendeleo?

Chadema Haijawahi Kutoa Hata Msaada wa Madawati kwenye Shule zetu za Kata,Wao Wamekalia Kulalamika na Kushinikiza Kuing’oa CCM Madarakani. 3. 3.Hivi ni Upendo Upi Chadema IInao kwa Vijana Hata Tuiamini na Kuiunga Mkono?

Maana Chadema Haina Utofauti na Wilaya Mpya(Wilaya Isio na Ofisi,Watu wachache sana…),Vijana Wanapewa Nafasi za Kugombea Ubunge ndani ya Chadema kwa Sababu Nafasi Hizo Zipo Wazi,Bado Chama Hakina Wanachama wengi, Nafasi nyingi za Kugombea Zipo wazi Kutokana na Uchanga wa Chama Chenyewe.

Lakini na Uchanga Kilionao Tunashuhudia Baadhi ya Viongozi Waking’ang’ania Madaraka,Je Kama Chadema Ikikomaao na Kuwa Kama Ilivyo CCM Kutakuwa na Nafasi ya Vijana Tena??Maana Vijana Kama Zitto Kabwe Wanaotaka Kugombea Uenyekiti Wanaitwa WAHAINI, WASALITI.

Acha Niiunge Mkono CCM,Maana WAMETHUBUTU.

Ng’ara CCM Ng’araaa.

Hivi toka mwaka 1992 hadi sasa CCM ilipoanza kuchukua Ruzuku baada ya mfumo wa vyama vingi kushika hatamu wametumia kiasi gani cha Ruzuku wanayopokea kujenga ofisi zao, madarasa na Zahanati kwa ajili ya wananchi?Hata kutoa msaada wa madawati ktk shule?(Naulizia CCM na si mwanaCCM)

Pili tumekaa na ccm karibu miaka 37 embu tuonyeshe upendo waliotuonyesha ili tuwaunge mkono

Unasema Zitto anaitwa msaliti na mhaini kwa kutaka kugombea urais na uenyekiti wa CDM, Je unafahamu kuwa Kuna mwanachama wa CCM mzee Munasa Munasa toka Musoma kipindi cha uongozi wa Mkapa alijitokeza ili awanie Urais je walimruhusu hao CCM? Shibuda nae alitaka kugombea Urais kipindi cha pili cha JK aliruhusiwa? Je umepata kusikia nafasi ya Uwenyekiti CCM inagombaniwa ktk uchaguzi wao Mkuu? Hadi leo Wana CCM Zanzibar wanakaumu kuwa rais wa Zanzibar anachaguliwa Dodoma badala ya Zanzibar je hiyo ndio Demokrasia?

Je umepata kumsikia mwana CCM yeyote aliyevuliwa uanachama au aliyejitoa CCM au kujiuzulu mwenyewe au kuvuliwa madaraka anakizungumzia vizuri chama hicho? Hivi kweli Kitila na mwigamba unategemea wazungumze mazuri ya CDM? Kweli mzee Arfi ambaye ni team Zitto unategemea azungumze mazuri ya CDM? Hata ukiwa na IQ ya panya utaelewa wazi kuwa nilioeataja hawawezi kuizungumzia vzr CDM.

Unahoji eti CDM imefanya maendeleo gani ktk nchi hii toka ianzishwe? Naomba nitajie angalau vyama vitatu vya upinzani duniani,kuanzia dunia ya kwanza hadi yetu ya tatu ambavyo toka kuanzishwa kwake havijawahi kushika Dola lakini vimeleta maendeleo makubwa ktk nchi zao na unielezee wameyaletaje hayo maendeleo?

Kipindi cha zaidi ya miaka 30 sasa toka nikiwa mtoto hadi leo nikiwa na umri ambao kikatiba naruhusiwa kugombea urais mzee Mangula,Anna Abdallah,Anna Makinda,mzee kinana nk ni viongozi wa CCM sasa hali hiyo inatofautiana vp na unachokiita kung'ang'ania madaraka?

Huwezi ukaikashifu au kuihukumu CDM,CUF hata NCCR. eti kwa kusema CCM ndio mfano eti wamethubutu. Muda wa kuleteana maneno ya khanga umekwisha tunaitaji chama mbadala wa kututia hapa tulipo kwama CDM wakipewa wakichemsha tunawatimua,CUF wakipewa uongozi wakachemsha tunawatimua bora kuwapa uongozi hata Jahazi Asili au TPPMaendeleo kuliko kuiamini CCM kwa maneno yenu ya khanga. Nchi imeanguka kiuchumi jukumu letu kama wananchi ni kutafuta chama mbadala wa kuiinua na kuan za safari upya, period.
 
Mwenyekiti ni Mbowe
Katibu Mkuu Dr Slaa.

umenisoma wewe boya....
 
Hivi taasisi kama tamwa, makanisa na misikiti wanaotoa misaada kama hayo madawati ni NGo? Usiwe shabiki wa chama kupitiliza wakati mwaingine ilazimishe akili yako kufikiri
Lilambo

kweli CCM imekumaliza inamaana hujuhi kuwa TAMWA ni NGO ?

Soma hapa:-
The Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) is a non-profit sharing, non-governmental and non-partisan organisation registered under the Societies Ordinance on 17th of November 1987.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom