Zitto kabwe karibu mbeya tunahamu kusikia toka kwako si propaganda za hawa jamaa

labda akutembelee nyumban kwako..

huku mbeya zitto hapendwi,hajawah kuja mda mrefu sana,alafu et aje sahv baada ya kupatwa na matatzo...
 
Awaulize wale wasaliti wawili mtu na dada yake kilichowapata Mbeya, Ukimtaka we mpigie tu na hivi hajaoa, ila sidhani kama atakufikiria maana ni opportunist yule, au na wewe baba yako awe raisi kama nanilii ndo atakufikiria.
 
Kule kigoma weng sio watanzania ni wahamiaja yaan warund

mkapa kpnd akiwa Rais alipoenda waliandamana et wametengwa????

Nyerere alpokuwa Rais et walikuwa wanadai wajitenge wao sio watanzania

baada ya miaka50 zito kahongwwa mi hela na ccm,kapewa na zawad ya lami

waha sasa,wanajiona wao n kila kitu.

Najiuliza tuuu,hata ndan ya ccm kwenyewe kuna muha alyeaminiwa akapewa uongoz wa kitaifa kwenye chama????????????

Nadhan chadema walikosea sana[/QUOTE

Victor
Hapo unadhihirisha sera za kikanda na kikabila
 
mbeya ipi,we kilaza kwel,et anafuatilia mabilion yaliofichwa uswis kakuroga nan?mwenzio anatishia nyau il apewe chochote.
 
Mbeya ipi unayoisema ? Hakuna mtu hapo MBEYA atakayevumilia cdm kutukanwa tena na mtu aliyeokotwa barabarani na kujengwa na chama , wala hatathubutu kutia mguu .

we acha uongo we na zitto alitangulia nani tatizo hujui kuwa mbowe na slaa wote wana kadi za ccm na wamekili hadharani hivi wewe ukiamua kuokoka unabaki na hilizi et ni mali yangu utakuwa shetani katikati ya watu wa MUNGU
 
Kule kigoma weng sio watanzania ni wahamiaja yaan warund

mkapa kpnd akiwa Rais alipoenda waliandamana et wametengwa????

Nyerere alpokuwa Rais et walikuwa wanadai wajitenge wao sio watanzania

baada ya miaka50 zito kahongwwa mi hela na ccm,kapewa na zawad ya lami

waha sasa,wanajiona wao n kila kitu.

Najiuliza tuuu,hata ndan ya ccm kwenyewe kuna muha alyeaminiwa akapewa uongoz wa kitaifa kwenye chama????????????

Nadhan chadema walikosea sana
Dr.Saa alivyoenda? Nyie watu wa kaskazini wabaguzi sana leo mnawakana watu Kigoma.
 
Mbeya ipi? mwalike nyumbani kwako! hakuna mwanachama wa CDM msukule kama wewe,vp kuhusu matamko!mbona hatuyaoni na kuyasikia siku hizi? unaijua katiba ya CDM au umekurupuka tu? Mwaliko wa kichama unatolewa na uongozi wa chama kutoka eneo husika,je wewe ni kiongozi wa CDM eneo lipi na ngazi ipi hapo mbeya? mmekaa kikao kipi na kwa muhtasari upi kuazimia hayo? UNARUHUSIWA KUMWALIKA KTK SENDOFF AU HARUSI NYUMBANI KWAKO! OVA
 
we acha uongo we na zitto alitangulia nani tatizo hujui kuwa mbowe na slaa wote wana kadi za ccm na wamekili hadharani hivi wewe ukiamua kuokoka unabaki na hilizi et ni mali yangu utakuwa shetani katikati ya watu wa MUNGU

Suala la kadi nalo umeona hoja? kweli kuwa ccm hadi uwe na akili ya maiti!
 
Hizi akili uharo zilizojaa ukabila wa kijiweni!!

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe alisema wakati umefika kwa Waziri Mkuu, Pinda kukaa pembeni na kumwachia Rais Kikwete aunde safu nyingine.
“Pinda ni mtu wangu. Tunaheshimiana na sina chuki naye. Kwanza yeye ni mmoja wa watu ninaotuhumiwa kuwapa jimbo apite bila kupingwa na kuniletea matatizo kwenye chama changu.
“Hivyo sina chuki naye maana pia anatoka kanda yetu. Hata hivyo, hali ya sasa ya nchi inahitaji kupumua. Ampe nafasi Rais aunde Serikali upya.”
Gazeti la Mwananchi, Jumatau 23 Desemba 2013
 
Mbeya siyo rahisi aisee Mbeya ni watu wengne kabisa labda kama umetumwa ila wana mbeya hawadanganyiki.
 
Sisi kama wananchi wa mbeya tunaojitambua tunaomba mh.zitto utembee nchi nzima kueleza ukweli kuhusu tuhuma juu yako tupo tayari kusikia toka kwako mwenyewe usidanganywe na matamko ya watu ni yao wao sisi wanachama hatujaulizwa maoni yetu juu ya sakata lako ila tunajiuliza kwanini lije leo wakati wewe uko kusaka fedha walizoficha uswisi na ulaya kwa ujumla na ile propaganda ya wewe na fedha za ccm walishindwa kunasa meseji hata moja ya m.pesa au copy ya risti benki ninavyomjua @#$%^%^ wa chadema hasa kuhusu epa alikuwa analeta hadi barua za siri mbona kwa hili hakuna tuachane na hilo labda bado ziko stationary zinafanyiwa editing.ila karibu mbeya wafanya biashara wa hapa mjini tuko tayari kukuandalia mkutano mkubwa kabisa kama uko tayari basi nitumie kameseji au mwenye mawasiliano na mh.zitto jameni tupeni iwe email aunamba ya simu wadau nipeni basi hapa chini kwa herini karibuni hapa chini wa buku saba,wahadhidina na waleberal wote ila leteni hoja soi matusi matusi ni dalili ya kuishiwa sera af samahani keybodi ya haina nukta

Siyo mbeya tu hata sisi watu wa mtwara tunakuomba sana mheshimiwa ufike huku, useme nasi ili tupate nafuu.
 
Kule kigoma weng sio watanzania ni wahamiaja yaan warund

mkapa kpnd akiwa Rais alipoenda waliandamana et wametengwa????

Nyerere alpokuwa Rais et walikuwa wanadai wajitenge wao sio watanzania

baada ya miaka50 zito kahongwwa mi hela na ccm,kapewa na zawad ya lami

waha sasa,wanajiona wao n kila kitu.

Najiuliza tuuu,hata ndan ya ccm kwenyewe kuna muha alyeaminiwa akapewa uongoz wa kitaifa kwenye chama????????????

Nadhan chadema walikosea sana

ngoja niwe kama zitto na kwetu wapewe zawadi ya lami
 
Mbeya siyo rahisi aisee Mbeya ni watu wengne kabisa labda kama umetumwa ila wana mbeya hawadanganyiki.

atakuja tu kila mtanzania ana haki ya kukutana na watu na kubadilishana mawazo katiba ibara ya 20 katiba ya nchi ya 1977 toleo la 2005
 
Siyo mbeya tu hata sisi watu wa mtwara tunakuomba sana mheshimiwa ufike huku, useme nasi ili tupate nafuu.

safi sana najua kwetu chunya atakweta atujuze juu ya dhahabu tunavyoibiwa ila namwomba asisahau kupitia mbeya mjini
 
Nimeona mnataka kumponza zzk ninyi.....Mbeya????? watamnyonga!! R.I.P Juma Jamal din Akukweti........
 
WanaCHADEMA wa kweli wanaofuata misingi na maamuzi ya chama chao hawataendelea kujadili hii thread
 
WanaCHADEMA wa kweli wanaofuata misingi na maamuzi ya chama chao hawataendelea kujadili hii thread

Upo sawa Ben! CDM hatuna wanachama dizaini ya hawa wapiga ramli! CDM inaongozwa na katiba,kanuni na miongozo yake! Wanajua matamko yanatolewa baada ya vikao husika kukaa na si mizigo ya lumumba kujifanya viongozi kutoa matamko_OVA
 
Akifika mbeya yatakayomkuta asimlalamikie mtu....mbeya hawana mchezo, walishawahi kuihasi serikali ya mbeya kandoro akakimbia...kama siyo sugu palikuwa hapatoshi, Kikwete alishapigwa mawe mbeya...hayo ni baadhi tu ya vijimambo vya Mbeya...Hawataki wala kupenda wanafiki...soma alama za nyakati
 
Back
Top Bottom