Recent content by Tatigha

  1. Tatigha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stress zilinifanya nihisi kuwa na tatizo la nguvu za kiume

    Acha uzembe mzee tafuta mchepuko hiyo hali haitotokea tena
  2. Tatigha

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    Acha matusi na wakurya....! Pambana na hao hao wachaga kama wamekushinda kakojoe ulale
  3. Tatigha

    JamiiForums Tanzania Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

    Hahahaha si ungemtaja hata masanja
  4. Tatigha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke sio mtu wa kubembelezwa

    Kuwa kama ulivyo usilazimishe tabia isiyo yako
  5. Tatigha

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

    Hakuna kitu kama hicho watu waache uchafu aisee....! Mtu unakuta akicheka meno yamejaa ukungu, ulimi una utandu mweupee, makucha marefu yamejaa uchafu, mtu kama huyo unamteteaje? Tuache uchafu asee
  6. Tatigha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

    Hao wahuni unaowasema wewe.....! Ni wasela Mavi wasiojitambua sasa
  7. Tatigha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

    Mngekua mnasubiri au jamaa angeoa mtu mwingine.....!
  8. Tatigha

    JamiiForums Tanzania Amepata kazi Bunda mkoani Mara. Vipi wenyeji wa huko?

    Huyo alikua hakupendi...! Wala sababu sio unatokea Mara, akikupenda haangalii unatokea wapi...! Mrisyaaa umeniuzi sana
  9. Tatigha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujasiri wa kusimama mbele za watu wengi

    Unaweza ila umekosa uzoefu tu
  10. Tatigha

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutoa hewa chafu kila baada ya dakika mbili au tatu naombeni msaada

    Mkuu mimi napata hiyo shida tumbo kujaa gesi pamoja na kiungulia baada ya kula...! Shida inaweza kuwa nini?
  11. Tatigha

    JamiiForums Tanzania Leo nimeaibika sana, roho inauma

    Akichukua wa kumvutia haswa, atasimamisha lakini atamwaga chini ya dk 1 hahahahah
  12. Tatigha

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ulitumia nini kutibu uume kurudi kwenye hali yake?
  13. Tatigha

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha watoto wengi kuwa wafupi siku hizi?

    Wanawahi kuanza shule si kwamba wamekua wafupi....! Tena matoto ya siku hizi ndo yanakua fastaa
Back
Top Bottom