Recent content by Tatemahunda

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), tarehe 3/3/2018 kuandamana kumung'oa Mwigulu Nchemba

    kwani marehemu nae alishiriki maandamano?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Somalia Taifa Lisilotakiwa Kuwa Na Amani Na Mataifa Makubwa

    uandishi wako unajulisha IQ yako, acha nikuelimishe kidogo, je! unahakika mashambulizi yote yanayotokea Somalia yanafanywa na wasomali? majeshi ya U S yapo Somalia kwa kazi ipi?, kila majeshi ya U S yakiongezeka Somalia na mashambulizi ya kigaidi yanaongezeka, hii inaashiria nini?, all...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbali Myanmar

    Ewe Allah! waokoe waja wako hawa dhaifu dhidi ya wauaji wasio hata na chembe ya huruma. wape nguvu waja hawa, wasamehe maiti wao .,wape furaha ifunikayo huzuni zao .
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ya Myanmar Waislamu wa Rohingya kosa lao hasa nini?

    pangilia maneno yako yaendane na mada tajwa hapo juu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mipya Feki Yaanza Kusambaa Mitandaoni.

    kwa hiyo bado viwango vipya vya mishahara havijajulikana?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mipya Feki Yaanza Kusambaa Mitandaoni.

    kwa hiyo bado viwango vipya vya mishahara havijajulikana?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    mkuu pole na majukumu, naomba kuuliza, matikiti yangu yanashambuliwa sana na konokono, wanakula majani na wakati mwingine hufikia kukata mmea, sumu ya wadudu ninayotumia ni IMIDA, pia matikiti yangu yana shida moja, baadhi ya matunda hunyauka hasa yakiwa na ukubwa wa au chini ya ngumi, afya ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Hongera mkuu kwa ufafanuzi, so nikipata folio fertilizers zenye ubora wa kutosha na nisipotumia mbolea nyingine kama urea, CAN etc naweza pata mavuno mazuri tu?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    pole na majukumu mkuu, naomba nijue hili: hizi folio fertilizers zipo zenye hadi 45% ya nitrogen, je! kuna tofauti ya mavuno iwapo itatumika folio booster yenye 45% badala ya urea?? Je,nitrogen ipatikanayo kwenye urea ina tofauti na ile ya kwenye folio boosters??
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Ahsante mkuu kwa elimu ya juu, nimekuelewa mno, mana wakati mimea ilikua imeathirika mno sometimes white flies walionekana kwa wingi kwenye matikiti, aphids pia hua nawaona shambani kwangu, wanaweza kutokomea kwa sumu hizi zenye cypermethrin na Abamectin?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Sumu za wadudu natumia Avirmec 1.8 EC ina Abamectin 18g/l natumia CC 10 /20litres za maji. ya ukungu natumia Agrilax 72WP ina metalaxyl 8%+mancozeb 64%wp, naweka GM 50 kwa lita 20 za maji , msimu huo mchana joto hupanda hadi nyuzi 33, Mara nyingi hua ni kiangaz japo mwishoni mwa kipindi hicho...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Amani kwako mkuu! Mimi ni mkulima wa tikiti maji, ila kuna tatizo tunakumbana nalo kwenye zao hili,tatizo hili huja kwa msimu lilianza mwaka Jana mwezi wa kwanza, kufika mwezi wa tano likapotea lenyewe, tatizo huanza kwenye majani ya kwenye ncha ambapo yanakua njano, njano hiyo huongezeka...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    amani kwako mkuu! Mimi ni mkulima wa tikiti maji, ila kuna tatizo tunakumbana nalo kwenye zao hili,tatizo hili huja kwa msimu lilianza mwaka Jana mwezi wa kwanza, kufika mwezi wa tano likapotea lenyewe, tatizo huanza kwenye majani ya kwenye ncha ambapo yanakua njano, njano hiyo huongezeka...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

    umeeleza vizuri mkuu, japo hujaweka wazi pale USA ilipoivamia Iraq kijeshi, Afghanistan n.k je ilijali maslahi na usalama wa dunia, Kwanini nchi nyingi ziiombe USA kuiacha nk na sio mataifa mengine iliyokwishayavamia kijeshi? naomba nielimishwe hapo
  15. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli nisamehe,nakushauri kwa mara ya mwisho. Tafadhali shaurika!

    Sikulaumu mkuu, title yako inatutambulisha ulivyo!
Back
Top Bottom