Recent content by Tatee

  1. T

    Tusipo chukua hatua madhubuti wa Tanzania CCM watalifisi taifa

    Ajuza naona umetekenywa ukatekenyeka! Vichwa vitawauma sana mwaka huu jiandaeni kupaki virago wazalendo tumeamua kuutokomeza ukoo wa panya kuhodhi madaraka ya Nchi hii wanainchi wamechoka na ghiriba zenu na ulaghai usiomithirika.
  2. T

    Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

    Poleni sana ndg zangu mliofikwa na majonzi na pia RIP kwa marehemu wote. Mi nashauri tuwe tunachukua tahadhari jamani ndg zangu hasa kwenye ajari ambazo zipo ktk hari hatarishi kama hizi hakuna ulazima wa kwenda kurudikana pamoja barabari kama hakuna wahanga wa kuokolewa basi tuwaachie...
  3. T

    Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    Teh teh teh! umeletwa na mafuriko gani mbona hatujaona mvua leo? mtalia sana mwaka huu kila rangi mtaiona!! Warioba kampiga shetani mkuu kichwani maneeena!
  4. T

    Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    Nayaona magamba hapa chini yanachungulia na kurudi kama kamasi!
  5. T

    Warioba katika 'dakika 45' za ITV akihojiwa kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya...

    Teh teh teh! magamba yalitota na kuloa jasho yalishika vitovu bila kupumua dk45 ziishe haraka! sio muda mrefu yatajitokeza hapa kwa shingo upande!
  6. T

    Sahihi ya tajiri, sahihi ya maskini

    Kuna uharisia mkubwa juu ya hili.
  7. T

    "Renew" kwa kiswahili tunasemaje?

    Upyaisha=renew hiyo ni kwamjibu wa kamsi ya kichwa changu sihitaji kushikishwa akili. Na wewe ukiwaza maana tafasili yako kaa nayo mwenyewe.
  8. T

    Habari ya kujifunza

    We should always continue digesting it, not just read it and narrate.
  9. T

    Jifunze kupitia story hii, nili share mahali!!!

    Hii imekaa poa sana!(in jots voice) hiyo kitu inaitwa kata ngebe shombo zake zimnukie hukohuko na mwisho wa siku anaumia mwenyewe. thats good reaction!
  10. T

    Mbowe kuwaingiza rasmi CUF na NCCR Serikali Kivuli Bungeni

    Natuseme AMINA Katika hili! mashambulizi kama haya yanatujengea umoja imara kumtwanga ccm za uso! Tusikubari ccm waingize virus kutuvuruga. Nawaomba wawe wamoja sisi wananchi tupo nyuma kutoa support.
  11. T

    Mwigulu afuta Malipo ya Wajumbe Waliotoroka Bungeni, azuia Mabenki yasiwalipe!

    Hii Nchi CCM wanavyoiendesha wanafikiri sisi raia ni maboya sana na masikini wa kupelekeshwa kijuha! Walifikiri wajumbe wote wanazuzuka na kufungwa akili kwa ujira wa 300000? Huu upumbavu waishie kuufanyia hukohuko lumumba kwa wachumia tumbo. Tutahisi usingizi, lakini hatulali mpaka ukombozi...
  12. T

    Mwigulu afuta Malipo ya Wajumbe Waliotoroka Bungeni, azuia Mabenki yasiwalipe!

    Mkuu joramjason ulitakiwa uilebo RIH ndo inamstahili huyu juha!
  13. T

    Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Dah! hapo ni kuachia fataki la nguvu tena unamlenga tumbo la wasirra lazima aharishe!!
  14. T

    Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

    Bilioni 4 ni pesa mingi sana haiwezekani kucontain kwenye cruza (unless hiyo dfp iwe kubwa zaidi ya nijuavyo) bila kuonekana. Talking frm my experience nimecheza sana na haya makaratasi ya madafu. Hao majambazi wameweza kupakua huo mzigo na kufanikiwa kuondoka nao na kwa usafiri upi? Hiyo ni...
Back
Top Bottom