Recent content by Tatabhyala

  1. Tatabhyala

    Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

    Hahaaa, madhara unayoyapata kwenye mashuzi unayoyapata kwa mwenza wako, kwanza umeshayavuta sana kupitia pua zako kama hewa chafu, kulingana maelezo yako bado unampenda sana, siamini kama unaweza ukamkabidhi mwingine gizani akahakikisha na kuusikia huo ushuzi, nawasilisha
  2. Tatabhyala

    Mkoa unaoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    Mkoa wa mara, unatisha kwa wasomi na nyadhifa za kutosha katika serikali ya Tanzania
  3. Tatabhyala

    Kila kitu baharini kinaliwa!

    Ishh!! makubwa geete
  4. Tatabhyala

    Wabongo sina hamu nao

    Usitake ncheke, inaonekana mkuu unakaa uswahilini sana. Mpaka unauza na friji!!? kweli nimekubali kutumbuliwa kuna athari kubwa.
  5. Tatabhyala

    Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

    Hahahaaaaa!!! safi sana umenikomeshea ma-tall wa kinyarwanda
  6. Tatabhyala

    Wanawake, hizi ndizo sababu za kutoolewa kwetu

    Dada utashauri sana, labda kama wadada wote wangekuwa na akili na maamuzi ya kufanana kama yako, lakini kama ni kwa mwendo huu!, wadada ni walaini kama mchicha wa Singida kama sio Tabora
  7. Tatabhyala

    Wanawake, hizi ndizo sababu za kutoolewa kwetu

    Kuna wengine kuvua pichu ni ndani ya nusu saa, make cha msingi kwake apate contact zako ili kinachofuata ni mizinga na vocha
  8. Tatabhyala

    Ukitaka kupiga hela tangaza biashara ya dawa za nguvu za kiume na dawa za kusaidia kupata ujauzito

    Wanaume wa Dar siku wakiacha kula vi-menu vya chips yai kuku watafanikiwa. Wadada wa Dar njooni Kanda ya ziwa kuna marijali wa kutosha huna haja kupeleka byfriend wako kuombewa kanisani apate nguvu za kiume
  9. Tatabhyala

    Ukitaka kupiga hela tangaza biashara ya dawa za nguvu za kiume na dawa za kusaidia kupata ujauzito

    Ni kwa sababu wanapenda kula michuzi ya pweza, wamedanganywa kisaikolojia na wauza pweza. Wauza pweza wanavuna hela kila kukicha na kuwaacha wateja wao wakilia bila msaada. wadada wa huko waelekee kanda ya ziwa wawakute marijali wasiohitaji hata supu ya sato
  10. Tatabhyala

    Maandalizi ya kuzamia South Africa na Botswana sasa 93%

    Kwa navyokuona huna uhakika na maisha, kwanza wewe mwenyewe hujatulia. Una ahadi na mama mtu mzima M-south rika la mama yako, afu tena umedata kwa mwanafunzi wa University Botswana na bado unadanganya mkeo hutamtelekeza. Pole sana kwani naona naona mke huna na ndiyo maana unapanga mipango ya...
  11. Tatabhyala

    Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Safi sana kiongozi nimekukubali
  12. Tatabhyala

    Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

    Safi sana, wengine walizoea kutafuniwa mirungi na viloba ndo shughuli ifanyike
  13. Tatabhyala

    Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

    Hiyo ndo habari ya mjini, hiyo hamu isiyoisha kwa bao moja una tatizo gani,
  14. Tatabhyala

    Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

    Dadaangu una wakati mgumu, tatizo unakimbilia pochi na hao wenye pochi shida shida yao ni bao moja tu chini ya dk1. Ukome kusotea wenye uwezo wa hela. utakomaje?
Back
Top Bottom