Recent content by tata mvoni

  1. tata mvoni

    Nahitaji kreti za soda

    Habari wakuu, Naomba mwenye kreti za soda zikiwa na chupa tupu anitafute tufanye biashara.Nitumie ujumbe kwenye namba 0673404808, then nitakupigia. Napatikana Dar es salaam. Asanteni.
  2. tata mvoni

    Nauza laini ya Uwakala wa Airtel Money

    Habari wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa airtel money kwa tshs.120,000/= maelewano yapo. Ukiwa na laini hii utaweza; kusajili laini za airtel Kuuza muda wa maongezi wa airtel Pia utapata kamisheni ya kuvutia Niko Dar es salaam. Kwa anayehitaji namba zangu ni 0673404808
  3. tata mvoni

    Jipatie Till ya M-Pesa kwa bei poa

    Wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa M-pesa kwa bei ya tshs.150,000/=,maelewano yapo.Naiuza kwa maana nataka kubadilisha biashara.Niko Dar es salaam.Kwa anayehitaji nitafute 0673404808
  4. tata mvoni

    laini ya uwakala wa M-PESA inauzwa

    Habari wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa m-pesa,being ni tshs.150,000/- maelewano yapo.Nipo dar es salaam.Mawasiliano 0673404808
  5. tata mvoni

    TECNO H5 bado ipo

    mkuuuu punguza bei maana airtel wanaziuza laki na 20 mpya na warranty juuu.Mie nitakupa elfu 50.
  6. tata mvoni

    Watangazaji waiponza Times FM

    ndugu we acha tu!!!!!!! kwa jinsi dida anavotukana mpaka mtu unaona aibu,mie nungekuwa mkurugenzi wa hii redio hiyo milioni wangelipa wao kwa kuwakata kwenye mishahara yao,pia kuna haja ya kuangalia mitaala inayotumika kufundishia hawa watangazaji uchwara maana yawezekana wanafundishwa matusi...
  7. tata mvoni

    Ndege za Israel zaanza kuponda maeneo ya Hamas kule Gaza

    Ila ni ujinga baba mzima kukateka katoto na kukaua kisa ni Muisraeli.Duh!? kama wanaweza watangaze vita kabisa sio kuua watoto afu wakitutuswa na midege ya Israeli makele kibao
  8. tata mvoni

    Onyo kwa mpaka rangi kucha

    Uoga tu si ungoje aje umchane live!?
  9. tata mvoni

    Nauza used laptop bei maelewano

    Laki 1 mkuu
  10. tata mvoni

    subwoofer inauzwa

    habari wakuu nauza subwoofer yangu aina ya sea piano bei tshs.50000/=.Zingatia: haina redio wala sehemu ya memory card ni spika tu na tweeter zake mbili.haina tatizo lolote inapiga mzigo kama kawa.Kama waitaka nipigie 0654404707 Niko dar es salaam.
  11. tata mvoni

    Pata laptop kali sana kwa bei ya matango pori.

    anauza 38000 mkuuuu
  12. tata mvoni

    laini ya uwakala wa airtel money inauzwa

    Habari wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa airtel money bei tsh.100000/=.NIKO DAR kama wahitaji nipm namba yako nitakupigia pia bei inapungua
  13. tata mvoni

    Huawey ascend y220 inauzwa

    Habari wakuuu nauza simu yangu aina ya huawei ascend y 220 sifa zake ni kama hivi: Android 2.3 3.5 inch HVGA full touch screen Wi-fi 802.11 b/g/n bluetooch 3.0 EDR/HS/A2DP web-browser G-sensor Camera USB 2.0 High speed Internal 256 MB RAM, 512 MB ROM Expand slot:Micro SD (Up to 32GB). niko...
Back
Top Bottom