subwoofer inauzwa

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
habari wakuu nauza subwoofer yangu aina ya sea piano bei tshs.50000/=.Zingatia: haina redio wala sehemu ya memory card ni spika tu na tweeter zake mbili.haina tatizo lolote inapiga mzigo kama kawa.Kama waitaka nipigie 0654404707 Niko dar es salaam.
 
Back
Top Bottom