Nauza laini ya Uwakala wa Airtel Money

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Habari wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa airtel money kwa tshs.120,000/= maelewano yapo.
Ukiwa na laini hii utaweza;


  • kusajili laini za airtel
  • Kuuza muda wa maongezi wa airtel
  • Pia utapata kamisheni ya kuvutia

Niko Dar es salaam.

Kwa anayehitaji namba zangu ni 0673404808
 
Back
Top Bottom