Recent content by tata mugaka

  1. T

    Sioni faida ya SADC, is a toothless organ made for Head of States.

    Ndugu kwa upeo wa macho yako huwezi jua lkn bila SADC ndani ya DRC M23 wasinge toka .Majeshi yalitoka TZ, South Africa na Malawi
  2. T

    Tuhuma nzito za Mange zisizo na ushahidi dhidi ya Rais, anafanya sawa?

    Huyo mange ameshatuona wa Tz ni wajinga apuuzwe angekuwa na ushahidi angeutoa .Ni mpuuzi sana.
  3. T

    Gari ya nyonya damu kwa waliosoma miaka ya 90

    Walimu wakifuata mishahara tunarudi home
  4. T

    Watanzania tuzungumze magazeti

    Nimekuwa mdau mkubwa wa kufuatilia kipindi cha magazeti kila siku asubuhi lkn sasa siku hizi RFA wameshindwa kurusha kipindi hicho inasikitisha sana.
  5. T

    Watanzania tuzungumze magazeti

    Nimekuwa mdau mkubwa wa kufuatilia kipindi cha magazeti kila siku asubuhi lkn sasa siku hizi RFA wameshindwa kurusha kipindi hicho inasikitisha sana.
  6. T

    Rais Huna budi Kuikagua Ikulu na Taasisi ya Rais kwa ujumla wake.

    Amekula mkuu hii kitu wanawajibika bure
  7. T

    Picha: Ubunge jimbo la Vunjo moto,Dk Latonga Mrema V/S James Mbatia

    Basi bhana mzee sukari inambeba inatisha
  8. T

    Live Updates: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam...

    Hamna kitu hapo mbowe simkubali na udikiteta wake
  9. T

    Shikamoo Wachaga!

    Wachaga noma mm jana nimemuuliza mangi ni saa ngapi akajibu ni saa sita keshi!!!
  10. T

    Kipi kimekupita

    Kula wali then unaacha kipunje shavuni unauliza watoto wenzio leo tumekula nn?
  11. T

    Uzalendo ni matendo viva Kubenea!

    Namkubali sana huyu mtu
  12. T

    Jiandaeni kuficha sura zenu kwa aibu itakayowapata

    Mm nafikiri nikuwa wakweli tu mbowe amefanya makubwa sana cdm na hata kwa wtz wote lkn hivi akiwa rais akaleta maendeleo itabidi aendelee kuongoza bila kikomo mm hapo sina la kusema kagame flan hv et Rwanda nimeitoa mbali
  13. T

    Matani

    Unashangaa nini!!! kashangae mikumi chui wanavaa bahama bahama
Back
Top Bottom