Jibu murua kabisa.Ndo maana huwezi kuwa raisi wa TZ.
Jibu murua kabisa.Ndo maana huwezi kuwa raisi wa TZ.
Angola pia wapo vizuri,shida Angola tupo nao SADC but bila viza huingii nchini mwao.Toa na Botswana na Namibia
Kwa mujibu wa story ya msamalia mwema ni jirani ndiyo. Ujirani ni mnyororo! jirani wa jirani wa jirani......mpaka kwako.Lesotho ni jirani.
Wewe binafsi imekusaidia nini??Punguza ubishi kijana, Last FY, TZ imeuza SADC bidhaa za zaidi ya 1 bilioni USD ukilinganisha na mauzo ya chini ya 500 USD kwenye EAC, bado tu huoni faida mojawapo ya Soko kubwa la SADC?
Inategemea uchumi wa nchi zilizo kwenye hiyo jumuia, SADC ukitoa SA zinazobaki ni nchi masikini hohehahe wa kutupwa duniani kama Malawi na Zimbabwe mtafika wapi.
Wewe binafsi imekusaidia nini??
Toa Botswana na Namibia
Hatufaidiki kiuchumi tu mambo mengi...kuwepo kwa forum ya viongozi tu kujadili mambo yanayoihusu nchi yao ni mafanikio. Ni sawa na mimi na wewe hapa tunajadili hili suala tunaongeza maarifa na upeo wetu.Inategemea uchumi wa nchi zilizo kwenye hiyo jumuia, SADC ukitoa SA zinazobaki ni nchi masikini hohehahe wa kutupwa duniani kama Malawi na Zimbabwe mtafika wapi.
Idadi ya watu siyo issue, issue ni kwa jinsi gani utaitumia hiyo idadi, korosho tani elf 20 tu zimeozea kwenye maghala SADC ilishindwa nini kukutana na ku solve, hiyo idadi ya watu wa SADC imesaidia kitu gani.Kumbe hujui vizuri SADC, total GDP yake ni approx. 1.5 trillion USD na combined population ni 300 million people.
Faida yetu sisi ni access ya hilo soko kubwa na fursa ya mtaji. Wenzio akina Bakhresa na MO sasa hivi wana operate kwenye nchi nyingi za SADC huwaambii kitu.
Kazi kubwa ya SADC siyo kusaidiana bali ni viongozi wake kukutana kujadili madeni na kugawana umasikini.Umenikumbusha kipindi ugiriki ina matatizo ya kiuchumi na jinsi EU ilivyochakalika kuokoa jahazi. Afu nikafikiria ya zimbabwe na matatizo yake ya uchumi.
Kwanini ninyamaze wakati naona kabisa kodi yangu inatumika kwa mambo ambayo hayana faida kwa nchi.Kama huoni faida brother "kausha"
Endelea na mambo mengine ambayo utaona yana faida
Ndugu kwa upeo wa macho yako huwezi jua lkn bila SADC ndani ya DRC M23 wasinge toka .Majeshi yalitoka TZ, South Africa na Malawimasharti
Hivi ni kweli mkuu hujaona kilichotusaidia hapo? Hebu creat chain utajikuta na ww umoWewe binafsi imekusaidia nini??
Hata ukiyaingiza mambo binafsi ni kweli imekusaidia, hizo bidhaa zilizouzwa zina chain yake hadi kwa mwananchi wa kawaidaSasa mambo ya binafsi yanaingiaje hapa kwenye mada za kitaifa?