Amani iwe nanyi...
Mara nyingi nimekuwa nasikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa utumiaji wa Ndimu au Limao iwe kwa kuweka kwenye chai au kwa kuikamua na kisha kunywa maji yake husaidia kupunguza uzito, je, kuna ukweli wowote au ni dhana ya kufikirika tu?
Nawasilisha
Huenda umewahi kuumizwa na wasiojua kupenda/kupendwa au hata kama siku zote umekuwa ukisubiri, nina imani kwa uzi huu ndoto yako itatimia. Sina masharti yoyote, kama umenielewa PM.
Binti alirudi toka tuition akiwa kachangamka na mwenye furaha sana na hivyo Baba'ke kutaka kujua kulikoni... maana ni hali ambayo hajawahi kuishuhudia kwa binti yake huyo, na hivi ndivyo ilivyokuwa:
Baba: Mbona leo una furaha sana mwanangu kulikoni...
Binti: Mwalimu katufanyia test ya kujikinga...
Kila kazi ina watu wake kaka, nakushauri uende Moshi kawachukue wapagazi watakufanyia hiyo kazi kwa umakini mkubwa, watamfikisha kileleni huyo mwanamke wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.