Recent content by Taslend

  1. Taslend

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Mkuu umetisha sana, na sisi ambao hatujakupata vizuri tuna comment wapi? 😂🤣🤣🤣🤣🤣
  2. Taslend

    JamiiForums Tanzania Ngoja nikupe facts why Toyota Crown ni bora kuliko Toyota Mark X

    Helo! Upo sawa kabisa ila sijaelewa chochote! 😂 😂 😂 😂
  3. Taslend

    JamiiForums Tanzania Audi A4 Gari Moja Ya Kichawi Sana, Twende Pamoja utanielewa

    Achana nae huyo, sie bado tuna ndoto nabhizi madude. Jamaa mleta uzi anafanya kuelezea ionekane ni kazi rahisi sana, anajua anachokifanya, ni taaluma yake maybe, abarikiwe sana!
  4. Taslend

    JamiiForums Tanzania Annual increments zitakavyokuwa mwaka huu kama Serikali hawatobadilisha kitu kwa walimu

    Nahisi walimu wana maadui wengi tu, kama ni ya mboga wrwe unahusikaje sasa? Waacheni waishi, hicho nacho ni kipato eti!
  5. Taslend

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massage ni danguro lililochangamka

    Endelea na ndoto zako sheilh! Mambo mengine subiri ufe lwanza ndo utajua hujui. Wengi mbingu tunaitazama kizinzi-zinzi, subiri mbususu za peponi yakhe!
  6. Taslend

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimnyime mume wako anapohitaji tendo la ndoa

    Pingamizi mheshimiwa, wanaume wa wapi hao?! 😂 😂 😂 😂
  7. Taslend

    JamiiForums Tanzania Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

    M ie miaka 6,BSc. With Education (Agricultural Science and Biology) ila sijawahi kuulizwa GPA, tunasubiri jambo la TAMISEMI tu kama fainali ya wananchi! 😂 😂 😂 😂
  8. Taslend

    JamiiForums Tanzania Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

    😂 😂 😂 😂 😂 😂
  9. Taslend

    JamiiForums Tanzania Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    😂😂😂😂😂 Pamoja sana baharia, bado tunakaza buti uku, mambo ni 🔥
  10. Taslend

    JamiiForums Tanzania Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Kama una qualifications, na nafasi inapatikana, ni vyema tu. Jitahidi.
  11. Taslend

    JamiiForums Tanzania Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Ni sawa mkuu, ukiwa naa kipato lazima uitwe mzee, ila sie watoto ndo viwango vyetu ivo, tena kitaa changu ukiwa na salary ya 600k, unaitwa boss kabisa, na unaheshimika ile mbaya! 😂 😂 😂 😂
  12. Taslend

    JamiiForums Tanzania Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Hapana mkuu, ukishiba usikufuru basi. Kuna watu mjini wana kipato kidogo kweli kweli, kwa sisi tuliokaa uswahilini, mshahara wa laki 2 ni mkubwa tu eti na mtu anaheshimika😂, analipa pango 30k kwa mwezi uhakika, usitushangae mkuu, tunaishi vizuri tu kwa nusu milioni.
  13. Taslend

    JamiiForums Tanzania Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Ukibahatisha kupata riziki ya kukuweka mjini, usiingiwe na ujinga, zingatia maisha yako kwanza, kama chini ya milioni unajishangaa, shangaa pia na chini ya laki 2, wanaofanya kazi viwandani, unajua wanacholopwa!?
  14. Taslend

    JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Hoja yako ni nzuri, ila rejelea upya bei ya projector inayofaa kutumiwa darasani (1.5mil na kuendelea) solar inahitaji mfumo kamili, sola panel 400watts (laki 5 na kuendelea) charge controller 30amps (around laki moja), inverter watts 1000 around laki moja, battery angalau 100aH kuanzia laki 3...
  15. Taslend

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukraine leo raha sana,
Back
Top Bottom