Hata anavyojibu maswali ni tatizo. It's like hakuna common sense. Some things just don't make any sense at all. How in a world unaenda taja mtu ulietembea nae tena mume wa mtu kwa majina yake mawili? Utakuaje na mtu for months ambae unaweza mtrust na picha za aina hiyo yet hujui majina yake...
Huyu dada anaonekana ana shida. I have seen watu wasioishi na mama zao ktk umri mdogo kuwa hivi japo si lazima na pia sifahamu mamake alifariki akiwa na umri gani. Ila liko tatizo kubwa ndani yake.
Huenda hata Interview kufanya karubuniwa na kiasi kidogo tu cha fedha na hakuwaza mara mbili...
Jana niliangalia kidogo lkn nimegundua kitu kingine kipya. Wale ditectives waliorespond to the Crimescene na waliomhoji ndo walichangia kuifanya kesi nyepesi kwa upande wa O.J
Unajua mimi nimewaza kama wewe. Sipendi tabia ya kusikia kitu upande mmoja na kusema ooh fulani must be a problem. No way!
Eti based on facts,how sure r u kua hizo anazotoa Lemutuz ni facts. Kiukweli situations kama hizi ni za kuwa acha wenyewe. They could all be problems here (Yaani ye na...
If you can't beat them join them!Figisu za miaka kutaka kumkomoa mtu,kumnyanyasa psychologicaly then now sababu mnaona hadondoki n he's supported na almost all media ndio mnamuita..? It's simply mmeona uchawi wenu umedunda !Get well soon Mawingu
Dah!Inashangaza na kusikitisa at the same time. Mungu na atusaidie. Ukiwa na roho ya kwanini hata maisha huwezi yafurahia. Furaha inakuja only when you see others in trouble. What a waste n pathetic life!
Dah!Ila tuende mbele na kurudi nyuma, kuna baadhi ya watanzania wana roho za kutu sana. Sasa dhumuni la huu uzi ilikua ni nini hasa?Chanzo cha haya ni nini huwa ni maisha magumu?Manake uzi una hasira na marehemu na wana USA baby hataree!
Hii thread na nyingine nyingi zinazohusisha watanzania wanaoishi nje hasa Marekani na Ulaya ukiisoma utagundua kuna chuki baina walioko nyumbani versus waleee wanaopondwa na kuombwa warudi nyumbani. But why? Na lini haya mambo yataisha?Kila mtu ana maamuzi na uhuru wa kuamua wapi afanye maisha...
LOL Muwege mnafatilia mambo kabla hamjaja kuandika hapa maana kukurupuka ni kujiaibisha. Watu wamekutana mara moja na wameraise 52000$ we unasema 10000 na ni ndege gani inasafirisha mwili kwa 10000$?
Kabisa ndugu. Kitendo cha mtu kumlaumu mzazi kwa jinsi yoyote mara nyingi ni ukosefu wa shukrani na huwa inanikera japo ndio wapo wazazi irresponsible lkn ni cases chache mno. Hakuna mzazi anaraise mtoto kwa kumwambia bangi ni nzuri siku zote atakuonya. Mzazi yeyote humtakia mema mwanae sema...
Like Seriously. ........!!
Lack of resp kwa wazazi ndo inasababisha??Ndugu unauza unga nini?Hivi unajua wapo watu walioanza kutumia unga sababu ya stress za kazi,kuachwa na wapenzi na mitihani mengine maishani?
Unga kuendelea kuuzwa ni tatizo period.
Unaeza kukua ktk hofu ya Mungu na ukaishia...
Dah!Ndugu sijui nianzie wapi?Ila I wish ungebeba mimba ukaelewa kuwa hakuna kuact,japo wengine wanazidisha. Kiukweli kuna mabadiliko mengi sana yanatokea unapokua mjamzito ndo unakuta moodswings, chakula fulani unapenda zaidi au kingine hukitaki. Especially miezi mitatu ya mwanzo . Kuliko...
Wakwe wengi na mawifi hujiona kama vile wana mamlaka juu ya mke aliyeolewq. Yaani hujiona nao ndio mume sasa hili ni kosa. Binafsi ninapenda tuzoeane ila kuwe na mipaka. Eti uingie chumbani kwangu, haiezekani Yaani mlango utauona tu ulee lkn huezi inhia hata siku moja sasa ndio unipekue hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.