Hamtakiwi kujibu kwa kukukrupuka tu, munatakiwa mufikiri zaid, kuna mwalimu yupo kijijini uki, maji shida , huduma zote za kijamii ni hafifu, hivi kama haya masomo ya sayansi bios, chemistry, math,physics, kwa mwanafunzi ambaye hana hata kitabu cha kujisomea nyumbani atafanyeje assignment io...